DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Pumbavu wewe.
Wapi kasema kwamba anajiosha.
Kwahiyo ulitaka aandikeje ujue kuwa anamaanisha!!!
This is Islam. They are Muslims.
Mijanamke kwa wivu bana. Wivu kwa mwanaume usiyemjua.
Fucking bull shiit
Acha hasira kaka huku ni stress free
 
Aise anamoyo wa pekee. Ila huyu dada yuko smart sana ktk kazi zake pia hafanyi kazi kwa kutafuta sifa, ni rafiki wa kila mtu nilibahatika kukutana nae mahali ilibidi niulizie habari zake kwa wenyeji wa pangani kuhusu utendaji wake hasa watumishi wa serikali wengi walimsifia wanasema japo ni binti mdogo lkn anabusara sana, hofokei mtumishi anapenda kuelekeza kwa upole,
Hayo ni kweli anayo mkuu
 
Jamani nitaslim nimtafute uyu mama anipe ruhusa niwe 3rd wife. [emoji23][emoji16]
 
Huyu DC si haba kajazia kama Mzigua90
cfa9de7065724582b13072c00fc6e430.jpg
Mashallah! Nashangaa kuna viumbe kama bwana Kiringo hawatamani uumbaji kama huu na kufuata Washeli.
 
Mashallah! Nashangaa kuna viumbe kama bwana Kiringo hawatamani uumbaji kama huu na kufuata Washeli.
Ni mambo ya ajabu sana mtu anaacha kula vitu laini venye utelezi wa asili anakimbilia vya kulumangia
 
Ni mambo ya ajabu sana mtu anaacha kula vitu laini venye utelezi wa asili anakimbilia vya kulumangia
Yaani inasikitisha sana mkuu. Neema za Allah. Vitu lainiiiiiiiiii na joto lililopimwa kwa nyuzi joto za peponi. Bado kuna mijitu inafukua chemba na mitaro!
 
Back
Top Bottom