DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Kwa hiyo na nyie mkiwa busy na sisi tuchepuke??

Binafsi mke wa pili hatii mguu kwenye ndoa yangu hata ningekua Islamic, nitamuachia amlete nitatoka mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KWENYE INSTAGRAM YAKE AMEANDIKA HAPPY ANNIVERSARY YA MIAKA MITATU NA AWESSO NA WANA WATOTO WATATU 3(maana walifunga ndoa mwaka 2018).

Na mwaka huo ndio alipost kumpongeza MUMEWE kuoa mke wa pili(maana yake alikuwa kwenye ndoa).

Sasa hivi wana miaka 3 watoto watatu 3.

Kumbuka kipindi BIBIE ALIKUWA DC MPYA WA PANGANI na AWESO alikuwa MBUNGE WA PANGANI...

HUKO NDIPO WALIKUTANA NA KUANZISHA MAHUSIANO AKIWA BADO NI MKE WA MTU...

NILICHOJIFUNZA...USIMPE NAFASI MKE KUFANYA KAZI MBALI NA WEWE...PILI USIOE WANAWAKE WANASIASA NA WANAHARAKATI.
 
True...
 
Ni kweli bhana ana umri mdogo ndio DC mdogo tanzania nzima mm nimesoma AZANIA namjua uyu ABDUL alikua waziri mkuu enzi nasoma pale miaka ya 2010-2013 na huyu bi dada alikua mwanafunzi wa jangwan alikua anapenda sana kusoma poems za kutetea wanawakena alikua kiongoz jangwan. So wamechukuana wote hao wadogo tuuu. Sema fursa zimewakubali daaaaah acha tuu
Usikute ni vijana Wana TISS from school fursa huwa hazikai hivi hivi
 
Jamaa yake wa zamani yuko njema! Alishawahi kua Mkuregenzi wa Azam FC, na Sasa ni Mkuregenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar! Nahisi jamaa alinusa harufu mapema kwamba Mzee wa maji,anakula tunda lake, ndiyo maana akaona bora kuoa mke mwingine,na bibiye nae alikua kakolea kunako wizarani, ngoma ikawa draw

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Basi hapo network ziliingiliana😂
 
NA INAWEZEKANA HAYO MAHUSIANO YA SIRI AKIWA KWENYE NDOA NDIYO YALIYOVUNJA NDOA YAKE...
Sasa unategemea ukigundua mkeo na X wake wana mawasiliano mazuri na kupigana miti kama kawaida utaendelea kumpenda huyo mke?

Hakuna dharau mbaya kama mke kutembea nje ya ndoa huku akiwa anakunyanyasa mara hivi mara vile qumah ya masimango..Deepdown unakuja sanuka kumbe ni kuna jamaa anamtia na ni X wake ulishamfahamu toka kitambo duh hapana. Unaweza ua ukikosa busara.

Ishukuriwe ndoa ilikuwa ya kiislamu tu na huenda hata mtoto aligundua sio damu yake😅
 
KWENYE INSTAGRAM YAKE AMEANDIKA HAPPY ANNIVERSARY YA MIAKA MITATU NA AWESSO NA WANA WATOTO WATATU 3(maana walifunga ndoa mwaka 2018).

Na mwaka huo ndio alipost kumpongeza MUMEWE kuoa mke wa pili(maana yake alikuwa kwenye ndoa).

Sasa hivi wana miaka 3 watoto watatu 3.

Kumbuka kipindi BIBIE ALIKUWA DC MPYA WA PANGANI na AWESO alikuwa MBUNGE WA PANGANI...

HUKO NDIPO WALIKUTANA NA KUANZISHA MAHUSIANO AKIWA BADO NI MKE WA MTU...

NILICHOJIFUNZA...USIMPE NAFASI MKE KUFANYA KAZI MBALI NA WEWE...PILI USIOE WANAWAKE WANASIASA NA WANAHARAKATI.
hapo inaonekana kuna watoto alizaa na aweso akiwa ndani ya ndoa yake ya kwanza na abdul.........

huyu mama hafai hata kidogo, ila anaonekana anajua sana kuchezea mike[emoji23]
 
KWENYE INSTAGRAM YAKE AMEANDIKA HAPPY ANNIVERSARY YA MIAKA MITATU NA AWESSO NA WANA WATOTO WATATU 3(maana walifunga ndoa mwaka 2018).

Na mwaka huo ndio alipost kumpongeza MUMEWE kuoa mke wa pili(maana yake alikuwa kwenye ndoa).

Sasa hivi wana miaka 3 watoto watatu 3.

Kumbuka kipindi BIBIE ALIKUWA DC MPYA WA PANGANI na AWESO alikuwa MBUNGE WA PANGANI...

HUKO NDIPO WALIKUTANA NA KUANZISHA MAHUSIANO AKIWA BADO NI MKE WA MTU...

NILICHOJIFUNZA...USIMPE NAFASI MKE KUFANYA KAZI MBALI NA WEWE...PILI USIOE WANAWAKE WANASIASA NA WANAHARAKATI.
KWENYE INSTAGRAM YAKE AMEANDIKA HAPPY ANNIVERSARY YA MIAKA MITATU NA AWESSO NA WANA WATOTO WATATU 3(maana walifunga ndoa mwaka 2018).

Na mwaka huo ndio alipost kumpongeza MUMEWE kuoa mke wa pili(maana yake alikuwa kwenye ndoa).

Sasa hivi wana miaka 3 watoto watatu 3.

Kumbuka kipindi BIBIE ALIKUWA DC MPYA WA PANGANI na AWESO alikuwa MBUNGE WA PANGANI...

HUKO NDIPO WALIKUTANA NA KUANZISHA MAHUSIANO AKIWA BADO NI MKE WA MTU...

NILICHOJIFUNZA...USIMPE NAFASI MKE KUFANYA KAZI MBALI NA WEWE...PILI USIOE WANAWAKE WANASIASA NA WANAHARAKATI.
Mnyonge myongeni haki yake mpeni. Van Mohamed's kipindi anaoa mke wa pili alifanya kwa kumkomoa huyu bidada na bidada alijitia anapokea kwa mikono miwili mbele ya umati ili asijionyeshe kwamba ameumia kumbe aliendelea na maisha yake. haikupita mda baada ya ile post bidada aliomba talaka na kuolewa kimya kimya. Wanaume wenzangu wa waislamu iwe funzo kwenu. mwanamke hakomolewi. umemchoka achana nae kwa utulivu tabia za kuoa mke wa pili kumkomoa mkeo utaja aibika weee mwenyewe
 
ILA HAIBADILISHI ALIANZA MAHUSIANO MENGINE AKIWA KWENYE NDOA...NA WATOTO ALIWAPATA WENGINE KWENYE NDOA YA MTU...
 
Back
Top Bottom