DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

ILA HAIBADILISHI ALIANZA MAHUSIANO MENGINE AKIWA KWENYE NDOA...NA WATOTO ALIWAPATA WENGINE KWENYE NDOA YA MTU.

mme wake alivoa aliooa aliomba talaka na walikuwa Elisha tengana. jamaa aliza nje ya ndoa ndo mwanamke kukimbilia tanga
 
mme wake alivoa aliooa aliomba talaka na walikuwa Elisha tengana. jamaa aliza nje ya ndoa ndo mwanamke kukimbilia tanga
Hakukimbilia Tanga bhanaa kwa ajili ya mumewe...alipata uteuzi wa ukuu wa wilaya tanga PANGANI na huko ndiko alikokutana na aweso...kuhusu mumewe haijadhihiri hicho unachosema...
 
Mnyonge myongeni haki yake mpeni. Van Mohamed's kipindi anaoa mke wa pili alifanya kwa kumkomoa huyu bidada na bidada alijitia anapokea kwa mikono miwili mbele ya umati ili asijionyeshe kwamba ameumia kumbe aliendelea na maisha yake. haikupita mda baada ya ile post bidada aliomba talaka na kuolewa kimya kimya. Wanaume wenzangu wa waislamu iwe funzo kwenu. mwanamke hakomolewi. umemchoka achana nae kwa utulivu tabia za kuoa mke wa pili kumkomoa mkeo utaja aibika weee mwenyewe
Amkomoe kwa sababu gani
 
Hakukimbilia Tanga bhanaa kwa ajili ya mumewe...alipata uteuzi wa ukuu wa wilaya tanga PANGANI na huko ndiko alikokutana na aweso...kuhusu mumewe haijadhihiri hicho unachosema...
Wameachan 2018 mwanzoni. 2019 kaoelewa. cha kushangaza ni kipi hapo? wanaume inabidi tubadilike. mambo ya kulia lia kisa ex kaolewa na mtu tajiri kuliko wewe ni ushoga. jamaa alijitia kidume kweli mwishowe ye ndo naaibika. tusisahau Mungu ni WETU sote. achana na hawa mabinti kwa wema kama umemchoka mamno ya kukomoana ni ya kizamani
 
wameachan 2018 mwanzoni. 2019 kaoelewa. cha kushangaza ni kipi hapo? wanaume inabidi tubadilike. mambo ya kulia lia kisa ex kaolewa na mtu tajiri kuliko wewe ni ushoga. jamaa alijitia kidume kweli mwishowe ye ndo naaibika. tusisahau Mungu ni WETU sote. achana na hawa mabinti kwa wema kama umemchoka mamno ya kukomoana ni ya kizamani
Sijaelewa mkuu anaaibika kivipi hasa?
 
wameachan 2018 mwanzoni. 2019 kaoelewa. cha kushangaza ni kipi hapo? wanaume inabidi tubadilike. mambo ya kulia lia kisa ex kaolewa na mtu tajiri kuliko wewe ni ushoga. jamaa alijitia kidume kweli mwishowe ye ndo naaibika. tusisahau Mungu ni WETU sote. achana na hawa mabinti kwa wema kama umemchoka mamno ya kukomoana ni ya kizamani
Hivi uolewe 2019 na uwe na watoto watatu kwenye ndoa ambao sio pacha, Jumaa alishaanza mgongea mwenzie
 
Wakati mmewe wa kwanza anaongeza mke wa pili, yeye kajiongezea maarifa yaliyompatia mme bora aliyemshauri kusoma tena.
 
Wameachan 2018 mwanzoni. 2019 kaoelewa. cha kushangaza ni kipi hapo? wanaume inabidi tubadilike. mambo ya kulia lia kisa ex kaolewa na mtu tajiri kuliko wewe ni ushoga. jamaa alijitia kidume kweli mwishowe ye ndo naaibika. tusisahau Mungu ni WETU sote. achana na hawa mabinti kwa wema kama umemchoka mamno ya kukomoana ni ya kizamani
Wewe hueleweki unachoongea na kukipigania..?
 
Mbona Kwa Aweso amekua MKE wa pili ,cha msingi Zainabu amuheshimu tu MKE wa Kwanza AWESU ,yeye alikasirika kule Kwa Abdul kupandishwa cheo ,pia azingatie na yeye amempandisha cheo mwenzake
 
Aweso kumbe anakula maraha namna hii ndo maana anakuwaga na mbwembwe nyingi jukwaani...!
 
Jamaa yake wa zamani yuko njema! Alishawahi kua Mkuregenzi wa Azam FC, na Sasa ni Mkuregenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar! Nahisi jamaa alinusa harufu mapema kwamba Mzee wa maji,anakula tunda lake, ndiyo maana akaona bora kuoa mke mwingine,na bibiye nae alikua kakolea kunako wizarani, ngoma ikawa draw

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hapana kwenye hicho cheo alishatolewa na Sasa hivi mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais ikulu Zanzibar n Charles Hilaly
 
Back
Top Bottom