William-123
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 197
- 94
Nani alikwambia barabara za manispaa ziko chini ya wizara ya magufuli?
fikiria nchi hii kuna barabara ngapi?. co barabara zote Waziri husimamia
Nani alikwambia barabara za manispaa ziko chini ya wizara ya magufuli?
Duh arguments nyingine bwana....
Ni kweli hasimamii zote lakini ana dhamana ya barabara zote....
Ni sawa na ukiwa mkuu kazini kwako, si kazi zote unafanya na kusimamia wewe, lakini uko responsible kwa kila jambo....
Na ni wazi, ukiachilia mbali siasa, barabara nyingi ziko chini ya kiwango......kama unasafiri kwa njia ya barabara maeneo mengi utaelewa vizuri
BAADA YA KUUNDA TUME YA UCHUNGUZI KUHUSU BARABARA ZA KINONDONI. REPORT ALIYOPATIWA INAONYESHA
MADUDU MENGI YA UCHAKACHUAJI. MADUDU AMBAYO YALIANZIA KATIKA NGAZI ZA UTOAJI TENDA NA MPAKA UJENZI WA
BARABARA. MFANO BARABARA MOJA ILIPANGWA ITUMIA MILIONI 450 LAKINI MPAKA
SASA IMEKULA 1.6BILION.
SWALI ?
1) JE WAZIRI MAGUFULI HAKUONA MADUDU HAYA..?
2) JE KAMA TUKIFUATILIA BARABARA ZINGINE ALIZOJENGA SI MABILIONI TAMEPOTEA.?
3) KWA MAANA HII RIPOTI YA CAG ILIYOONYESHA MABILIONI KUPOTEA ILIKUWA SAHIHI.
4) JE TUKIMPA URAIS ATAWEZA KUZUIA WIZI WA NAMNA HII KWELI...?
Mdau unaonaje..?
Wizara ya ujenzi haiko responsible na barabara za manispaa na ndio maana wabunge waliambiwa wakitaka barabara iwe chini ya ujenzi kuna hatua za kufuata ikiwa ni pamoja na vikao vya kupitisha ili ziamishwe toka tamisemi kwenda tanroads
Team dodoki ni vilaza sana
Naelewa kuwa za Halmashauri ziko chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri husika
Nimejaribu kupanua mawazo kwa ujumla wake ya changamoto ya viwango vya barabara zetu....wakati tunaposhangilia kuwa na mtandao mpana wa barabara, tusisahau kupiga kelele juu ya viwango na ubora wa barabara husika