LGE2024 DC Rombo: Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki, 4R zitatumika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

“Uchaguzi huu utakuwa huru, Utakuwa na Haki”. Haya ni maneno ya Uhakikisho yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mwl. Raymond Mwangwala wakati akiongoza matembezi ya taratibu ‘Jogging’ kwa Wananchi, Watumishi wa Umma na Taasisi mbalimbali zilizopo Wilayani humo yakiwa na lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura kuwachaguwa viongozi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Matembezi hayo yamefanyika mapema asubuhi ya leo Jumatatu Novemba 25, 2024 yakiwa pia niyakuhitimisha uhamasishaji upigaji Kura zikiwa zimesalia siku mbili pekee kufikia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

DC Mwangwala pia amesema kuwa Kwenye uchaguzi huo 4R zote za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zitatumika kikamilifu huku akiwahakikishia Wananchi kuwa watampata Kiongozi wamtakae na watakae mchagua.

Pia ameongeza kuwa ukikwepa kupiga kura na kumchagua kiongozi wa Serikali za Mitaa hautakuwa na haki yakuuliza maendeleo au kulaumu kitu chochote kwani uchaguzi huo ndio msingi wa mambo yote ya maendeleo.
 
Wakuu,

“Uchaguzi huu utakuwa huru, Utakuwa na Haki”. Haya ni maneno ya Uhakikisho yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mwl. Raymond Mwangwala wakati akiongoza matembezi ya taratibu ‘Jogging’ kwa Wananchi, Watumishi wa Umma na Taasisi mbalimbali zilizopo Wilayani humo yakiwa na lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura kuwachaguwa viongozi wa Serikali za Mitaa Novemba 27,2024.

na huo ndiyo mpango mzima.

Mungu Ibariki Tanzania :ClapHD:
 
rombo hiii hiii nnayoifahamu
Akwendreee huko
 
Kuja mjinga yuko jf na anachagua CCM.

mother....!!
 
Aiseeeeeeeeeeeeee....
FB_IMG_1732293848141.jpg
 
Ameongea na mkwe wa Samia, bwana Mchengerwa, kumwuliza kama huo msamiati wa uchaguzi huru na wa haki, aliwahi kuusikia katika maisha yake!!
 
Back
Top Bottom