DC Shaka: Nitahakikisha Watendaji wote wa Serikali ambao ni wanufaika au chanzo cha migogoro baina ya wakulima na wafugaji wanachukuliwa hatua Kali

View attachment 2520093
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,

Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa.

Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na watendaji ndani ya serikali ambao ni sehemu ya ustawi au wanufaika wa migogoro hiyo alitoa angalizo Mr Shaka.

Niwahahakishie kama kuna mtu yeyote miongoni mwetu, anafaidika na migogoro hii ama anahusika kwa namna moja ama nyingine kuistawisha atakutana na mkono mkali wa sheria kwenye hili hatutangaliana usoni"

Kauli ya DC Shaka Hamdu Shaka wakati akiweka msisitizo asubuhi Alkhamis 16 Februari 2023 alipokuwa akiongea na Madiwani katika kikao cha Baraza la Halmashauri ya Wilaya Kilosa ambapo wakati wa Jioni alipata fursa kufika eneo la Magomeni ambako wananchi walifikisha malalamiko yao ofisini kwake jana.

#Kilosa2Fursa2
#Maendeleo endelevu
Kila lenye heri kiongozi
 
Nasikia mmemfuata Amsterdam pesa ya Kula imekata 😂😂😂

Ni kweli mkuu, hata mama Samia huwa anakwenda sana huko huko kwa wazungu, nadhani ni muendelezo huohuo wa pesa ya kula kukata.
 
Siasa za kupokea wageni airport, Baada ya huyu tumtegemee Wenje

Mbona hiyo ni kawaida sana kwa mpendwa wako? Au au uliumia sana? Mbona sisi hatukulia mlivyokuwa mnaenda kupokea ndege za dhalimu?
 
View attachment 2520093
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,

Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa.

Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na watendaji ndani ya serikali ambao ni sehemu ya ustawi au wanufaika wa migogoro hiyo alitoa angalizo Mr Shaka.

Niwahahakishie kama kuna mtu yeyote miongoni mwetu, anafaidika na migogoro hii ama anahusika kwa namna moja ama nyingine kuistawisha atakutana na mkono mkali wa sheria kwenye hili hatutangaliana usoni"

Kauli ya DC Shaka Hamdu Shaka wakati akiweka msisitizo asubuhi Alkhamis 16 Februari 2023 alipokuwa akiongea na Madiwani katika kikao cha Baraza la Halmashauri ya Wilaya Kilosa ambapo wakati wa Jioni alipata fursa kufika eneo la Magomeni ambako wananchi walifikisha malalamiko yao ofisini kwake jana.

#Kilosa2Fursa2
#Maendeleo endelevu
Kipindi hiki cha Rais Samia Suluhu akiwa madarakani migogoro mingi iliyokuwepo imetatuliwa na Rais Samia Suluhu katika kusuluhisha migogoro yake amewapa wananchi kipaumbele
 
View attachment 2520093
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,

Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa.

Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na watendaji ndani ya serikali ambao ni sehemu ya ustawi au wanufaika wa migogoro hiyo alitoa angalizo Mr Shaka.

Niwahahakishie kama kuna mtu yeyote miongoni mwetu, anafaidika na migogoro hii ama anahusika kwa namna moja ama nyingine kuistawisha atakutana na mkono mkali wa sheria kwenye hili hatutangaliana usoni"

Kauli ya DC Shaka Hamdu Shaka wakati akiweka msisitizo asubuhi Alkhamis 16 Februari 2023 alipokuwa akiongea na Madiwani katika kikao cha Baraza la Halmashauri ya Wilaya Kilosa ambapo wakati wa Jioni alipata fursa kufika eneo la Magomeni ambako wananchi walifikisha malalamiko yao ofisini kwake jana.

#Kilosa2Fursa2
#Maendeleo endelevu
Piga kazi
 
IMG_1218.jpg
 
Mwamba sana Wewe Jamaa
 
Awesome leader
 
Back
Top Bottom