residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ushahidi wa nini?Toa ushahidi residentura
Lete Ushahidi sio utumbo huu wa JFUshahidi wa nini?
Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo. ==== Katibu CCM asimamishwa kwa rushwa, Magufuli asema… KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka...www.jamiiforums.com
Kila lenye heri kiongoziView attachment 2520093
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,
Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa.
Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na watendaji ndani ya serikali ambao ni sehemu ya ustawi au wanufaika wa migogoro hiyo alitoa angalizo Mr Shaka.
Niwahahakishie kama kuna mtu yeyote miongoni mwetu, anafaidika na migogoro hii ama anahusika kwa namna moja ama nyingine kuistawisha atakutana na mkono mkali wa sheria kwenye hili hatutangaliana usoni"
Kauli ya DC Shaka Hamdu Shaka wakati akiweka msisitizo asubuhi Alkhamis 16 Februari 2023 alipokuwa akiongea na Madiwani katika kikao cha Baraza la Halmashauri ya Wilaya Kilosa ambapo wakati wa Jioni alipata fursa kufika eneo la Magomeni ambako wananchi walifikisha malalamiko yao ofisini kwake jana.
#Kilosa2Fursa2
#Maendeleo endelevu
Nasikia mmemfuata Amsterdam pesa ya Kula imekata 😂😂😂Aache utapeli, hayo mambo hayajaanza wiki iliyopita. Hapo anasaka kiki tu sio zaidi ya hapo.
Nasikia mmemfuata Amsterdam pesa ya Kula imekata 😂😂😂
CHADEMA badilini aina ya Siasa mnafanyaNi kweli mkuu, hata mama Samia huwa anakwenda sana huko huko kwa wazungu, nadhani ni muendelezo huohuo wa pesa ya kula kukata.
CHADEMA badilini aina ya Siasa mnafanya
Siasa za kupokea wageni airport, Baada ya huyu tumtegemee WenjeNyie lini mtabadili Siasa za wizi wa kura ili tujue kunahitajika hayo mabadiliko?
Siasa za kupokea wageni airport, Baada ya huyu tumtegemee Wenje
Kwa hiyo huyo kiongozi wako aliyoyasema ni utumbo wa JF!!??Lete Ushahidi sio utumbo huu wa JF
Achana na hayo mauporoto,Kwa hiyo huyo kiongozi wako aliyoyasema ni utumbo wa JF!!??
Kipindi hiki cha Rais Samia Suluhu akiwa madarakani migogoro mingi iliyokuwepo imetatuliwa na Rais Samia Suluhu katika kusuluhisha migogoro yake amewapa wananchi kipaumbeleView attachment 2520093
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,
Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa.
Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na watendaji ndani ya serikali ambao ni sehemu ya ustawi au wanufaika wa migogoro hiyo alitoa angalizo Mr Shaka.
Niwahahakishie kama kuna mtu yeyote miongoni mwetu, anafaidika na migogoro hii ama anahusika kwa namna moja ama nyingine kuistawisha atakutana na mkono mkali wa sheria kwenye hili hatutangaliana usoni"
Kauli ya DC Shaka Hamdu Shaka wakati akiweka msisitizo asubuhi Alkhamis 16 Februari 2023 alipokuwa akiongea na Madiwani katika kikao cha Baraza la Halmashauri ya Wilaya Kilosa ambapo wakati wa Jioni alipata fursa kufika eneo la Magomeni ambako wananchi walifikisha malalamiko yao ofisini kwake jana.
#Kilosa2Fursa2
#Maendeleo endelevu
Safi kabisaKipindi hiki cha Rais Samia Suluhu akiwa madarakani migogoro mingi iliyokuwepo imetatuliwa na Rais Samia Suluhu katika kusuluhisha migogoro yake amewapa wananchi kipaumbele
Piga kaziView attachment 2520093
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,
Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa.
Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na watendaji ndani ya serikali ambao ni sehemu ya ustawi au wanufaika wa migogoro hiyo alitoa angalizo Mr Shaka.
Niwahahakishie kama kuna mtu yeyote miongoni mwetu, anafaidika na migogoro hii ama anahusika kwa namna moja ama nyingine kuistawisha atakutana na mkono mkali wa sheria kwenye hili hatutangaliana usoni"
Kauli ya DC Shaka Hamdu Shaka wakati akiweka msisitizo asubuhi Alkhamis 16 Februari 2023 alipokuwa akiongea na Madiwani katika kikao cha Baraza la Halmashauri ya Wilaya Kilosa ambapo wakati wa Jioni alipata fursa kufika eneo la Magomeni ambako wananchi walifikisha malalamiko yao ofisini kwake jana.
#Kilosa2Fursa2
#Maendeleo endelevu
Mwamba sana Wewe JamaaView attachment 2520093

Awesome leaderView attachment 2520093