DC Shaka: Nitahakikisha Watendaji wote wa Serikali ambao ni wanufaika au chanzo cha migogoro baina ya wakulima na wafugaji wanachukuliwa hatua Kali

Hiki chuma kwelikweli
 
Kazi ipigwe tuko na Wewe boss Shaka
 
Kitakachofata atajikuta kahamishiwa bariadi huko Kuna vitalu vya mawe TU na pamba
 
Mwanzo wenye matumaini makubwa
 
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,
Shaka kama uko serious ingia mwenyewe vijijini ukawasikilize wananchi wakuambie michezo inayochezwa na polisi, maafisa kata na tarafa, watendaji wa vijiji, madiwani na hata mwenyekiti wako wa wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…