DC tafadhali ndugu, kutatua kero siyo sifa. Kwann utatue kero? Wewe kama rais wa kipande cha nchi (ktk hiyo wilaya), unapaswa kuweka mifumo ya kutokuzalisha kero.
Ninapoona kiongozi anatatua kero tena mbele ya kamera namchukulia kama mtafuta kiki tu. DC usiingie kwenye mtego huo, fanya kazi zako bila kiki.