BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera Mhe. Erasto Sima anaendelea na ziara yake iliyoanza wiki hii ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi ambapo kesho ziara inaendelea. Kesho Jumatatu Juni 10, 2024 ni Kata ya Rukoma na Kibirizi na Jumanne Kikomelo. Wananchi wote mnakaribishwa. Bukoba Kazi Inaendelea ya kushughulika na masuala ya wananchi.