johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa nini alitaka kumpiga na alitaka kumpiga kama nani....!?Mkuu wa wilaya ya Songwe mh Simon Simalenga ametolea ufafanuzi swala la binti anayedai alimpiga
Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.
Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dr Dorothy Gwajima amesema swala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa
Mlale unono!
Kwani Uchunguzi unafanyikia ofisini?Ajiuzulu kupisha uchunguzi,nchi yetu viongozi wawe na aibu hata kidogo,ni aibu kuona bado yupo ofisini......
Governmenting with publicityMkuu wa wilaya ya Songwe mh Simon Simalenga ametolea ufafanuzi swala la binti anayedai alimpiga
Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.
Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dr Dorothy Gwajima amesema swala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa
Mlale unono!
Hivi unaruhusiwa kupiga? Tuliosoma Cuba tushaelewa ,wewe simalenga subiri tu report itoke hurudi zako kaole ukaendeleze usanii.alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga
Shuleni wanafunzi hawachapwi?Hivi unaruhusiwa kupiga? Tuliosoma Cuba tushaelewa ,wewe simalenga subiri tu report itoke hurudi zako kaole ukaendeleze usanii.
Shuleni wanafunzi hawachapwi?
Ukumshika binti anaumia jicho?Mkuu wa wilaya ya Songwe mh Simon Simalenga ametolea ufafanuzi swala la binti anayedai alimpiga
Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.
Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dr Dorothy Gwajima amesema swala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa
Mlale unono!
Wewe umeona jicho au bandeji?Ukumshika binti anaumia jicho?
Hivi una akili timamu kweli mzee duuuh aisee kazi ipo yaani rc >minister aisee hii ndio nimeisikia kwako mzeeHata hiyo tume ya gwajigeli sidhan kama wanauwezo wa kumhoji mtu anayekuja anapeperusha bendera.
Anaweza kuropoka tu wakapgwa ndani.
Ni rahisi kumhoji waziri, lakn sio rc au dc.hawa wanamiliki maeneo wakifuatiwa na wenyeviti wa vijiji.