DC Simalenga: Yule binti hakupigwa kama inavyosimuliwa, nilimpa warning. Nilitaka kumpiga nikamshika Mkono akaomba Msamaha!

Labda shule zenu za kayumba ndio wanachapa ,shule za school bus ni marufuku kumchapa mtoto.

DC alitaka ampige tena anafungua bakuli na kutoa kauli ya kijinga....Polisi tu haruhusiwi kupiga mtu ndiyo iwe DC?
Zipi hizo mkuu za school bus?
Maana kwa kumbukumbu zangu kuna matukio mengi tu ya hizo shule kuripotiwa kuadhibu wanafunzi kupita kawaida.
Tatizo la wabongo wengi wakishapata hamasa hawatumii tena akili kufikiri mara mbili athari za kile walichohamasishwa. Ilihali hata wazungu wenyewe wanaadhibu watoto wao wanapokosea!
 
Hata hiyo tume ya gwajigeli sidhan kama wanauwezo wa kumhoji mtu anayekuja anapeperusha bendera.

Anaweza kuropoka tu wakapgwa ndani.

Ni rahisi kumhoji waziri, lakn sio rc au dc.hawa wanamiliki maeneo wakifuatiwa na wenyeviti wa vijiji.
Mkuu kuna mambo hata wanao wakiona watakudharau,jaribu kujisitiri na huu ujinga ulioandika hapa,ni hasara tupu kwenye ukoo wenu
 
Mkuu wa wilaya ya Songwe mh Simon Simalenga ametolea ufafanuzi swala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dr Dorothy Gwajima amesema swala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
Ni ushamba wa madaraka kiongizi mkubwa kama DC to get physical, yaani kutumia au kukusudia kutumia maguvu ya mwili wake.
Sheria ichukue mkondo wake.
 
Mkuu wa wilaya ya Songwe mh Simon Simalenga ametolea ufafanuzi swala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dr Dorothy Gwajima amesema swala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
Kwa nini alitaka kumpiga?

Amandla...
 
Kama DC katoa warning kampasua binti jicho,
Je angempiga ?
Binti angekuwa ktk hali gani..

Uetetezi mwingine hovyo kabisa.
Na kama mama mzazi anasema alimkuta mwanaye kavimba mashavu, Na hilo bandeji Kwenye jicho limefuata nini?

Kutunga UONGO mwingine hovyo kabisa
 
Kwwhyo unakiri kama alivimba mashavu?

Kama unakiri alivimba mashavu,basi ukiri na Jicho kuvimba baada ya kipigo.
Mama mtu anadai alimkuta kavimba mashavu!!! Sasa kama alivimba mashavu na hilo bandeji kufungwa kisanii Kwenye jicho limefuata nini?

Halafu ukiangalia hapo mashavu ni kweli yamevimba?

Halafu the way anavyoongea kunadalili yoyote ya mtu kugugumia maumivu ya kipigo kama hicho anachotaka kutuaminisha?

Nitakuwa mtu WA mwisho kuamini hii taarifa.
Huuu ni Majaliwa mwingine WA kufunga mlango WA imejensi na kumpungia mkono rubani😅😅😅

Halafu TBC huu uumgwana WA kutangaza taarifa kama hii WAMEANZA LINI?

Mimi nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa ni Enzi ya Todo Mhando. Baada ya kuondoka Tido Mhando aliyekuja hadi Leo taarifa zao ni zile za kusifu na kuabudu!!

Sasa hii yasa hivi huu uungwana WA kukosoa wameutoa wapi?
 
alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga
Hii inaitwa kujichukulia sheria mkononi
 
Mama mtu anadai alimkuta kavimba mashavu!!! Sasa kama alivimba mashavu na hilo bandeji kufungwa kisanii Kwenye jicho limefuata nini?

Halafu ukiangalia hapo mashavu ni kweli yamevimba?

Halafu the way anavyoongea kunadalili yoyote ya mtu kugugumia maumivu ya kipigo kama hicho anachotaka kutuaminisha?

Nitakuwa mtu WA mwisho kuamini hii taarifa.
Huuu ni Majaliwa mwingine WA kufunga mlango WA imejensi na kumpungia mkono rubani[emoji28][emoji28][emoji28]

Halafu TBC huu uumgwana WA kutangaza taarifa kama hii WAMEANZA LINI?

Mimi nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa ni Enzi ya Todo Mhando. Baada ya kuondoka Tido Mhando aliyekuja hadi Leo taarifa zao ni zile za kusifu na kuabudu!!

Sasa hii yasa hivi huu uungwana WA kukosoa wameutoa wapi?
Wewe kuwa wa mwisho au wa kwanza kuamini kunabadilisha chochote?
 
Zipi hizo mkuu za school bus?
Maana kwa kumbukumbu zangu kuna matukio mengi tu ya hizo shule kuripotiwa kuadhibu wanafunzi kupita kawaida.
Tatizo la wabongo wengi wakishapata hamasa hawatumii tena akili kufikiri mara mbili athari za kile walichohamasishwa. Ilihali hata wazungu wenyewe wanaadhibu watoto wao wanapokosea!

Wazungu hao unaowasema wa wapi au Buza? Maana kwa mbele ukimpiga mtoto unapewa adhabu kali sana , watoto wa kizungu wanafundishwa hadi kupiga 911 wakipigwa na wazazi.
 
Back
Top Bottom