DC Simalenga: Yule binti hakupigwa kama inavyosimuliwa, nilimpa warning. Nilitaka kumpiga nikamshika Mkono akaomba Msamaha!

Shuleni wanafunzi hawachapwi?
Kuna miongozo kibao hadi kufikia kumwadhibu mwanafunzi ila walimu wasio elimika ndiyo hudhani adhabu hutolewa tu kiholela.

Utaratibu wa kumwadhibu mwanafunzi ni mchakato mrefu na iliwekwa hivyo ili kuzuia adhabu holela.

Mkuu wa wilaya hana mandate yoyote ya kumwadhibu ama kumpiga mtoto/raia.
 
Twenden Kiev tukaendeleenkujifunza internationals huku Mburahati kuna mambo ya kushangaza sana
 
Mkuu wa wilaya ya Songwe Mh. Simon Simalenga ametolea ufafanuzi suala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dkt. Dorothy Gwajima amesema suala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
@johnthebaptist huyu DC amekulipa kiasi gani? Unaanzisha mada za kumsafisha kila mara,
Mwache abebe msalaba wake,
Akifukuzwa, au akibaki hupungukiwi na kitu, Labda kama wewe ndiye DC mwenyewe unajietea, maana humu tunatumia I'd fake,
 
Acha ujuaji usio kuwa na maana.

Nchi pekee ambayo kuna sheria ya kutopiga mtoto barani Ulaya ni Wingereza tu hakuna nyingine.

Hata Marekani sheria inamruhusu mzazi kumuadhibu mtoto wake pale ana pokosea ila sijajua kwa upande wa shuleni.
Kumuadhibu ndio Kumpiga?

Hata polisi hapigi mtu kama adhabu

Ni mahakama pekee inayoweza kumtoa adhabu ya Viboko kwa kushauriana na daktari

Wanafunzi huchapwa na fimbo Maalum viganjani
 
@johnthebaptist huyu DC amekulipa kiasi gani? Unaanzisha mada za kumsafisha kila mara,
Mwache abebe msalaba wake,
Akifukuzwa, au akibaki hupungukiwi na kitu, Labda kama wewe ndiye DC mwenyewe unajietea, maana humu tunatumia I'd fake,
Wapi nilipomsafisha bwashee?
 
Kiukweli hii tabia iliota mizizi kipindi cha JPM sasa bado wanadhani wapo utawala wa gizani.

Mkuu wa wilaya hana mamlaka ya kumpiga ama kumwadhibu mtu kwa namna yoyote ile.

Anakana kumpiga huku akikiri alitaka kumpiga. Kwa uelewa wa haraka haraka ni kweli alimpiga ndiyo maana binti amevimba jicho.

Achukuliwe hatua stahiki ili iwe fundisho.
Katiba ya Mkoloni inawapa madaraka makubwa hawa watu. Pamoja na kujifanya tumepata Uhuru.... Watawala bado wamekumbatia katiba ya Mkoloni. Inaelekea uhuru ulikuwa kwa ajili ya kumuondoa Mkoloni Mzungu na kumuwrka Mkoloni Mweusi.

South Africa na Namibia ambao walitawaliwa na Makaburu ambao tumewasaidia kujikomboa kutoka kwenye huo utawala, nleo wao wananchi wao wana uhuru kuliko wananchi wa Tanzania. Ujinga kama huu hauwezi kufanyika huko.
 
Mkuu wa wilaya ya Songwe Mh. Simon Simalenga ametolea ufafanuzi suala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dkt. Dorothy Gwajima amesema suala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
Aeleze kosa la binti hata amkanye.
 
samahani kwa kusema hivi;
kuna baadhi ya mikoa ni hatari sana kufanya kazi, watu wake ni waharibifu, wamebobea kwa tabia ya majungu na fitina.
 
Mkuu wa wilaya ya Songwe Mh. Simon Simalenga ametolea ufafanuzi suala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dkt. Dorothy Gwajima amesema suala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
...'Nilitaka Kumpiga'...Tayari Umefanya Kosa, Kwa Dhamana tuliyokupa...
 
Mkuu wa wilaya ya Songwe Mh. Simon Simalenga ametolea ufafanuzi suala la binti anayedai alimpiga

Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.

Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dkt. Dorothy Gwajima amesema suala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa

Mlale unono!
...Nchi ya Ufafanuzi....!
 
Sijaiona hiyo clip lakin kwa attitude ya huyu jamaa huwa ni ya ovyo sana mara nyingi huonekana akiongea kwa kunyoosha nyoosha vidole huku akiwafokea watu wazima.
...Alitakiwa Kwanza awe Nje ya Ofisi Uchunguzi Ukifanyika!...
 
Back
Top Bottom