ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ww jamaa buana nimekuuliza swari lakini unajizungusha tu.Kumbe uko kisiasa
Sasa mbona mkitiwa adabu kwa kutandikwa risasi " miguuni" mnalalamika dunia nzima?
Nimekuuliza ni adhabu gani huwa unampa mtoto wako pale anapo kosea ili na ss wengine tujifunze kwako lakini hunipi jibu zaidi ya ngonjera.