Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,995
- 5,664
Huyu DC atakua "Left Shooter" (anatumia mkono wa kushoto) maana binti kaweka bandage upande wa kulia.Turejee videoView attachment 2438203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu DC atakua "Left Shooter" (anatumia mkono wa kushoto) maana binti kaweka bandage upande wa kulia.Turejee videoView attachment 2438203
Kwa hiyo ww watoto wako wakikoseaga huwa unawapeleka mahakamani kuwashitaki?Kumuadhibu ndio Kumpiga?
Hata polisi hapigi mtu kama adhabu
Ni mahakama pekee inayoweza kumtoa adhabu ya Viboko kwa kushauriana na daktari
Wanafunzi huchapwa na fimbo Maalum viganjani
Ndiyo maana tunapopaza sauti zetu kupinga uwepo wa hivi vyeo vya kipuuzi, muwe mnatuelewa.Mkuu wa wilaya ya Songwe Mh. Simon Simalenga ametolea ufafanuzi suala la binti anayedai alimpiga
Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning Baada ya kutaka kumpiga lakini alimshika Mkono na binti akaomba Msamaha.
Naye Waziri wa maendeleo ya Jamii Dkt. Dorothy Gwajima amesema suala hilo linafanyiwa Uchunguzi na polisi na ukikamilika taarifa kwa Umma itatolewa
Mlale unono!
Mtu anayeadhibu kwa Viboko ana Fikra za kitumwa na amepungukiwa ustaarabuKwa hiyo ww watoto wako wakikoseaga huwa unawapeleka mahakamani kuwashitaki?
Simtetei Dc kwa alicho kifanya kwa sababu huyo aliye muadhibu sio mtoto wake wala sio mwalimu wake hivyo hakuwa na mamlaka ya kufanya alicho kifanya.
Lakini mzazi na mwalimu ana ruhusiwa kumuadhibu mtoto kwa viboko pale atakapo kosea ila iwe na kiasi sio kupiga piga tu.
ujue tayari ameshaiendea familia na possibly kutaka aihonge pesa ili wanyamazeKwa nini alitaka kumpiga na alitaka kumpiga kama nani....!?
Lazima kulikuwa na witness wengi tu, hivyo kama hawatatishwa ukweli utajulikana. Yaani kitendo cha yeye kushika mkono tena mtoto wa kike... Yaani ni kosa kubwa sana.
Hiki kiburi cha Wakuu wa Wilaya toka enzi za JPM inabidi kidhibitiwe. Nakumbuka akina Chalamila waliwahi piga watoto wa watu halafu kuna watu wakawa defend. Sasa haya ndiyo matokeo yake.
Enzi za JK kuna Mkuu wa Wilaya alimtandika viboko mwalimu wa shule ya msingi.... Kikwete alimtimua kazi kesho yake.
Sitashangaa kusikia ana negotiate dau ili atoke salama. Kwa hiyo matokeo ya uchaguzi nafikiri tayari yameshajulikana.
Jicho gani limepasuliwa mkuu? Fafanua vizuriKama DC katoa warning kampasua binti jicho,
Je angempiga ?
Binti angekuwa ktk hali gani..
Uetetezi mwingine hovyo kabisa.
Albert Mnali huyo alimpiga mwalimu.Kwa nini alitaka kumpiga na alitaka kumpiga kama nani....!?
Lazima kulikuwa na witness wengi tu, hivyo kama hawatatishwa ukweli utajulikana. Yaani kitendo cha yeye kushika mkono tena mtoto wa kike... Yaani ni kosa kubwa sana.
Hiki kiburi cha Wakuu wa Wilaya toka enzi za JPM inabidi kidhibitiwe. Nakumbuka akina Chalamila waliwahi piga watoto wa watu halafu kuna watu wakawa defend. Sasa haya ndiyo matokeo yake.
Enzi za JK kuna Mkuu wa Wilaya alimtandika viboko mwalimu wa shule ya msingi.... Kikwete alimtimua kazi kesho yake.
Sitashangaa kusikia ana negotiate dau ili atoke salama. Kwa hiyo matokeo ya uchaguzi nafikiri tayari yameshajulikana.
Karibu kila siku kwenye kipindi cha Nipashe Radio 1 hukosi taarifa inayomuhusu kutokea Songwe ila ukifuatilia nyingi zinahusu kugombezana, Mikwala mara kapiga marufuku hiki au kile mpaka nikajiuliza Ina maana hiyo wilaya hakuna mazuri yanayopaswa kuripotiwa? Au Mkuu wake kila siku yeye ni kugombana na wananchi wake!?Sijaiona hiyo clip lakin kwa attitude ya huyu jamaa huwa ni ya ovyo sana mara nyingi huonekana akiongea kwa kunyoosha nyoosha vidole huku akiwafokea watu wazima.
Marekani kuna baadhi ya majimbo wanaruhusu corporal punishment shuleni kama sikosei ikiwemo Texas .Acha ujuaji usio kuwa na maana.
Nchi pekee ambayo kuna sheria ya kutopiga mtoto barani Ulaya ni Wingereza tu hakuna nyingine.
Hata Marekani sheria inamruhusu mzazi kumuadhibu mtoto wake pale ana pokosea ila sijajua kwa upande wa shuleni.
Umepanic sana Mkuu mpaka unakosea kila mahari kuandika.Tulia uchunguzi ufanyike,kama hukumpiga mwanafunzi utasalimika tu,otjerwise tunakufahamu kipaji chako cha uigizaji,hushindwa kitwist mambo wewe.Mama mtu anadai alimkuta kavimba mashavu!!! Sasa kama alivimba mashavu na hilo bandeji kufungwa kisanii Kwenye jicho limefuata nini?
Halafu ukiangalia hapo mashavu ni kweli yamevimba?
Halafu the way anavyoongea kunadalili yoyote ya mtu kugugumia maumivu ya kipigo kama hicho anachotaka kutuaminisha?
Nitakuwa mtu WA mwisho kuamini hii taarifa.
Huuu ni Majaliwa mwingine WA kufunga mlango WA imejensi na kumpungia mkono rubani[emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu TBC huu uumgwana WA kutangaza taarifa kama hii WAMEANZA LINI?
Mimi nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa ni Enzi ya Todo Mhando. Baada ya kuondoka Tido Mhando aliyekuja hadi Leo taarifa zao ni zile za kusifu na kuabudu!!
Sasa hii yasa hivi huu uungwana WA kukosoa wameutoa wapi?
Fungua JF kwa kutumia desktop mode,usitumie JF mobile app,itafunguka.Nje ya mada, video/link iliotumwa hapa jf mbona kwangu huwa haifunguki?
Au kuna namna ya kuifungua?
Ww mtoto wako akikosea huwa una muadhibu kwa njia gani?Mtu anayeadhibu kwa Viboko ana Fikra za kitumwa na amepungukiwa ustaarabu
Kama zipi hizo mkuu?Marekani kuna baadhi ya majimbo wanaruhusu corporal punishment shuleni kama sikosei ikiwemo Texas .
Kuadhibu kwa bakora ni kosa Marekani majimbo mengi sababu it is regarded kama form of physical violence abuse, ila ni ruksa kumuadhibu kwa namna nyingine ambayo haitadhuru mwili wake au kumkosesha haki za msingi za mtoto.
Hata Shuleni adhabu ziko aina kwa ainaWw mtoto wako akikosea huwa una muadhibu kwa njia gani?
Msitake kuleta uzungu wa kipumbavu hapa.
Hivi majaliwa alipochapa walimu viboko raisialikuwa nani? Na alidanywa je?Kwa nini alitaka kumpiga na alitaka kumpiga kama nani....!?
Lazima kulikuwa na witness wengi tu, hivyo kama hawatatishwa ukweli utajulikana. Yaani kitendo cha yeye kushika mkono tena mtoto wa kike... Yaani ni kosa kubwa sana.
Hiki kiburi cha Wakuu wa Wilaya toka enzi za JPM inabidi kidhibitiwe. Nakumbuka akina Chalamila waliwahi piga watoto wa watu halafu kuna watu wakawa defend. Sasa haya ndiyo matokeo yake.
Enzi za JK kuna Mkuu wa Wilaya alimtandika viboko mwalimu wa shule ya msingi.... Kikwete alimtimua kazi kesho yake.
Sitashangaa kusikia ana negotiate dau ili atoke salama. Kwa hiyo matokeo ya uchaguzi nafikiri tayari yameshajulikana.
Jibu swali ww mtoto wako huwa akikosea huwa una mpa hadhabu gani ili ajutie kosa lake ?Hata Shuleni adhabu ziko aina kwa aina
Ni Matutusa ya Kitumwa tu yanayotumia bakora
Kumbe uko kisiasaJibu swali ww mtoto wako huwa akikosea huwa una mpa hadhabu gani ili ajutie kosa lake ?
Acha kujizungusha.
Wenda bila viboko ww ungekuwa kibaka kama sio jambazi kabisa lakini kiboko kilikurudisha kwenye mstari.
Yaani unaona bora mtoto apewe adhabu ya kufyeka uwanja mzima wa mpira au kusomba matofari 200 kuliko kupingwa viboko 5? kweli nimeamini CCM imejaa vilaza
Wabongo mtu akiwa anajiamini anaitwa nunda. Mnahitaji nchi ya walamba viatu?!!DC akatoa JUKUMU!
akagawa MAJUKUMU, Pole binti lakini huyu binti anaonekana mkaidi LAKINI HAKUSTAHILI KUPIGWA!
Yamkini ALMHOJI DC Kwa ujasiri MBONA unatufukuza WAKATI NA SISI NI WATU!
DC akapaniki kutoheshimika! Ni JAZIBA TU mtoto nasikia katibiwa na wazazi wamepewa kifuta machozi YAMEISHA
Ila huyo binti ni NUNDA kupitia virtual expression, ni vile vinunda vinavyojua kujitetea