DC Temeke: Familia isipopanda miti mitano, itawajibishwa kama muhalifu mwingine

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kwahiyo mkuu wa Wilaya hiyo miti inafaida gani hasa huku mjini palipojaa manyumba na maduka kila mahali? Hiyo miti mitano nitaipanda wapi?

Acha zako bhana fanya mambo mengine ya msingi
=============
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda ametoa tamko kwa kila mkazi wa Wilaya hiyo kupanda miti mitano iwe ya kivuli au matunda na kwa Kaya au mmilili wa nyumba ambae hatapanda miti hiyo atawajibishwa kama mhalifu mwingine.

"Nichukue fursa hii kuwaambia wanatemeke kuanzia leo uwe ni mpangaji wa nyumba au mmilili wa nyumba ka unaishi Temeke sharti uwe na miti mitano chagua mwenyewe iwe ya kivuli au ya matunda chagua mwenyewe" amesema Mapunda.

Mapunda ameyasema hayo leo Juni Mosi 2026, wakati wa zoezi la usafi wa mazingira na upandaji miti kandokando ya barabara ya Mandela.

Hii kanuni ni nzuri, lakini Miti mifano kwa TMK Pale Keko Maziwa ni Ndoto ingekuwa japo Miti miwili Tu kila nyumba.

Niliwahi kuandika hili jambo naona Kitima.

Asante Sana DC Temeke
 
Kwahiyo mkuu wa Wilaya hiyo miti inafaida gani hasa huku mjini palipojaa manyumba na maduka kila mahali? Hiyo miti mitano nitaipanda wapi?

Acha zako bhana fanya mambo mengine ya msingi
=============
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda ametoa tamko kwa kila mkazi wa Wilaya hiyo kupanda miti mitano iwe ya kivuli au matunda na kwa Kaya au mmilili wa nyumba ambae hatapanda miti hiyo atawajibishwa kama mhalifu mwingine.

"Nichukue fursa hii kuwaambia wanatemeke kuanzia leo uwe ni mpangaji wa nyumba au mmilili wa nyumba ka unaishi Temeke sharti uwe na miti mitano chagua mwenyewe iwe ya kivuli au ya matunda chagua mwenyewe" amesema Mapunda.

Mapunda ameyasema hayo leo Juni Mosi 2026, wakati wa zoezi la usafi wa mazingira na upandaji miti kandokando ya barabara ya Mandela.

DC Sixtus Mapunda Mimi Una support yangu 100%

Miji yoote uteketeze swala hili
 
Back
Top Bottom