Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kusema kwamba “ukristo unashambuliwa” au “Kanisa linalengwa” ni upotoshaji wa makusudi ambao sitaukalia kimya. Kusema waumini Milioni 3 na zaidi ya Makanisa 2,112 yamefungiwa nchi nzima sio kweli.
IMANI YA KILA MMOJA INAHESHIMIWA NA KULINDWA KWA MUJIBU WA SHERIA. Haki na Wajibu. Tarehe 20/7/2025 tulikubaliana kukutana Alhamisi tarehe 24/07/2025 saa mbili Asubuhi Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ili kuepusha mivutano isiyo na lazima. Lakini haikuwa hivyo!
Hakuna aliyefika kwa maelezo kwamba kuna kesi Mahakamani. Kama ndivyo, maana yake basi napaswa kusimamia maamuzi yaliyopo mpaka kesi imalizike Mahakamani 🤷🏿♂️🤷🏿♂️. Kutii sheria sio jambo la hiari. Kupuuza busara kwa kukosa hekima ni ukaidi wa makusudi.