GE2025 DC Victoria Mwanziva akabidhi matairi kwa gari ya CCM Lindi Vijijini kuunga mkono kazi za chama

GE2025 DC Victoria Mwanziva akabidhi matairi kwa gari ya CCM Lindi Vijijini kuunga mkono kazi za chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Bi Victoria Mwanziva amekabidhi magurudumu (Matairi) kwa ajili ya gari ya Chama - CCM Wilaya ya Lindi Vijijini- katika kuunga mkono jitihada na kazi nzuri inayoendelea kufanywa na Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Vijijini inayohudumia Jimbo la Mtama- Halmashauri ya Mtama alipohudhuria kikao cha kikanuni cha Kamati ya Siasa.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kamati ya Siasa iliyoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Lindi Vijijini Ndg. Hongonyoko kwa kauli moja imemshukuru DC Mwanziva kwa mchango wake na kumpongeza kwa namna anavyoiongoza vyema Wilaya ya Lindi na kudumisha mashirikiano.

snapins-ai_3660433702647870232.jpeg
snapins-ai_3660433702522069825.jpeg
snapins-ai_3660433702522081176.jpeg
 
Back
Top Bottom