Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 .
Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi?
Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500?
Jamaa anakula na Kupuliza.
sOMA: Pre GE2025 - DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia