Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Feb 18, 2025 #1 Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre GE2025 - DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia
Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre GE2025 - DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia
L Lumwago JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 767 Reaction score 1,140 Feb 18, 2025 #2 Sijui wenzangu Kama mmemuelewa.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Feb 18, 2025 #3 Lumwago said: Sijui wenzangu Kama mmemuelewa. Click to expand... Uliza uambiwe kama umepitwa na habari za nyuma.
Lumwago said: Sijui wenzangu Kama mmemuelewa. Click to expand... Uliza uambiwe kama umepitwa na habari za nyuma.