DC wa Iringa, Richard Kasesela ameomba radhi kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya uume

Hii mara ya pili anahusishwa na hii ishu,ila jinsi alivyoyashika yale madude kama yamemsisimua hivi,siyo ishara nzuri kwa mwanaume kuyafurahia vile madusheee,kuna shida mahali.
 
Mkuu wa wilaya ya Iringa mh Richard Kasesela amekanusha taarifa zinazozagaa kwa kasi kwamba yeye alizindua kiwanda cha kutengeneza sehemu za siri za mfano wa mwanamme.

Kasesela anasema picha zinazorushwa kwenye clip hiyo ni za miaka minne iliyopita na zilipigwa kwenye kongamano la ukimwi chuo cha Mkwawa.

DC Kasesela amesema wanaorusha clip hiyo ni wanasiasa wenye nia ovu na tayari mwanasheria wake ameanza kuchukua hatua.

Source: Ayo tv!
Awamu ya sita,unakwenda kuchunga mbuzi Bro.
 
View attachment 1079317
IRINGA: Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela, amewaomba radhi Watanzania kufuatia kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya jinsia ya kiume na kuzua taharuki katika jamii, ndani ya nchi na nchi za jirani.

Akitoa ufafanuzi kwa Vyombo ya habari mapema leo Aprili 23, amesema alikuwa katika ufunguzi wa utafiti katika Chuo kikuu cha Mkwawa uliofanyika Aprili 9 akiwa miongoni mwa washiriki.

"Kabla ya ufunguzi, banda la uelimishaji rika lilikuwa ni miongoni mwa mabanda kadhaa yayotembelewa na washiriki, ambalo lilikuwa linatoa Elimu Rika kwa wananchi juu ya maambukizi ya VVU na kujikinga ukizingatia mkoa wetu ni miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa maambukizi ya VVU hapa nchini.

"Licha ya picha kupigwa wakati nikipokea Elimu kutoka kwa mwelimisha rika, ninakanusha maelezo yaliyoandaliwa na Dauson Kumbusho ambae ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na pia msaidizi wa Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa," amesema.

DC Kasesela ameongeza: "Andiko lake lilielezea kufungua kiwanda cha kutengeneza viungo bandia vya jinsia ya kiume, nilimpigia simu na akaniomba radhi yakaisha, hivyo basi ninakuja kwenu Watanzania kuomba msamaha na kueleza kuwa maneno yaliyoandikwa hayakuwa na ukweli bali ni uzushi, naomba tuyapuuze."
View attachment 1079312
Hiyo picha yenyewe sasa,,,

Eboo!!
 
Mademu wanapigia nyeto hii picha, wanafunzi mate yanawatoka, alafu mboro za kitanzania hazija nyooka hivyo maana wanaume wengi huvaa chupi zinazobana kwahiyo mashine zao hupinda, hakuna mwenye iliyonyooka namna hii
Wengi tunavaa boxer sio chupi
 
Mademu wanapigia nyeto hii picha, wanafunzi mate yanawatoka, alafu mboro za kitanzania hazija nyooka hivyo maana wanaume wengi huvaa chupi zinazobana kwahiyo mashine zao hupinda, hakuna mwenye iliyonyooka namna hii
umepitia wangapi?
 
View attachment 1079317
IRINGA: Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela, amewaomba radhi Watanzania kufuatia kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya jinsia ya kiume na kuzua taharuki katika jamii, ndani ya nchi na nchi za jirani.

Akitoa ufafanuzi kwa Vyombo ya habari mapema leo Aprili 23, amesema alikuwa katika ufunguzi wa utafiti katika Chuo kikuu cha Mkwawa uliofanyika Aprili 9 akiwa miongoni mwa washiriki.

"Kabla ya ufunguzi, banda la uelimishaji rika lilikuwa ni miongoni mwa mabanda kadhaa yayotembelewa na washiriki, ambalo lilikuwa linatoa Elimu Rika kwa wananchi juu ya maambukizi ya VVU na kujikinga ukizingatia mkoa wetu ni miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa maambukizi ya VVU hapa nchini.

"Licha ya picha kupigwa wakati nikipokea Elimu kutoka kwa mwelimisha rika, ninakanusha maelezo yaliyoandaliwa na Dauson Kumbusho ambae ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na pia msaidizi wa Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa," amesema.

DC Kasesela ameongeza: "Andiko lake lilielezea kufungua kiwanda cha kutengeneza viungo bandia vya jinsia ya kiume, nilimpigia simu na akaniomba radhi yakaisha, hivyo basi ninakuja kwenu Watanzania kuomba msamaha na kueleza kuwa maneno yaliyoandikwa hayakuwa na ukweli bali ni uzushi, naomba tuyapuuze."
View attachment 1079312
Anaomba radhi ya nini? Mbona ameshika mwenyewe koni 🤣🤣🤣 nilidhani anasingiziwa kumbe kweli
 
Kwani hivyo "viungo bandia" vyeusi navyo vinasemaje??
 
Back
Top Bottom