DC wa Iringa, Richard Kasesela ameomba radhi kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya uume

Hii mara ya pili anahusishwa na hii ishu,ila jinsi alivyoyashika yale madude kama yamemsisimua hivi,siyo ishara nzuri kwa mwanaume kuyafurahia vile madusheee,kuna shida mahali.
 
Awamu ya sita,unakwenda kuchunga mbuzi Bro.
 
Hiyo picha yenyewe sasa,,,

Eboo!!
 
Mademu wanapigia nyeto hii picha, wanafunzi mate yanawatoka, alafu mboro za kitanzania hazija nyooka hivyo maana wanaume wengi huvaa chupi zinazobana kwahiyo mashine zao hupinda, hakuna mwenye iliyonyooka namna hii
Wengi tunavaa boxer sio chupi
 
Mademu wanapigia nyeto hii picha, wanafunzi mate yanawatoka, alafu mboro za kitanzania hazija nyooka hivyo maana wanaume wengi huvaa chupi zinazobana kwahiyo mashine zao hupinda, hakuna mwenye iliyonyooka namna hii
umepitia wangapi?
 
Anaomba radhi ya nini? Mbona ameshika mwenyewe koni 🤣🤣🤣 nilidhani anasingiziwa kumbe kweli
 
Kwani hivyo "viungo bandia" vyeusi navyo vinasemaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…