DCEA yanasa Jahazi la kiPakistan Bahari ya Hindi likiwa na Methamphetamine 670 kg

DCEA yanasa Jahazi la kiPakistan Bahari ya Hindi likiwa na Methamphetamine 670 kg

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hii imetangazwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka huyo Aretas Lyimo.
Ilikuwa ni operesheni ya Dec. 2024,ambapo pia walinasa crystal meth 224 kg katika fukwe za Bahari ya Hindi
Meth ni stimulant ya Central Nervous system.
Vijana wanaitumia kuongeza energy na imani.
Pia inasemekana inapunguza maumivu kama mtu akipigwa na nondo kichwani.
Kuhusiana na tukio hilo wamekamatwa raia wanane wa Pakistan ambao wamefikishwa mahakamani.
Hizi habari zinaripotiwa na Gazeti la Nipashe la leo.
Hizi siyo zile habari za Hurricane Jobo.
 
Back
Top Bottom