Mshukiwa mmoja anayehusishwa na tukio la armed robbery lililonaswa kwenye viral video akivamia restaurant moja eneo la Spring Valley, Westlands, ameuawa katika operesheni ya maafisa wa Directorate of Criminal Investigations (DCI) huko Joska, Machakos County.
Kwa mujibu wa DCI, detectives walimfuatilia mshukiwa hadi nyumba aliyokuwa amejificha kwa girlfriend wake mjini Joska. Alipojaribu kuwashambulia maafisa kwa risasi, kulizuka shootout ambapo aliuawa.
DCI imesema operesheni hiyo ni sehemu ya msako unaoendelea dhidi ya genge la majambazi wanaotekeleza armed robberies ndani ya Nairobi na maeneo ya metropolitan.
Uchunguzi bado unaendelea huku maafisa wakiwasaka washukiwa wengine wanaodaiwa kuwa sehemu ya mtandao huo.
Source: Nairobianprime.online