Mzee Misime ongea na walioko juu yako, damu haimwagwi kama maji. Damu za watu zimemwagwa na sasa ni vilio nchi nzima.
Kwenye njaa kama hii hakuna amani kokote hata uongee vipi na ukataze vipi. Mwenye njaa hana ustaarabu ila mwenye kushuba anaweza kuonekana mstaarabu