PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limepokea magari mapya sita ya kisasa kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na usalama kwa wananchi pamoja na mali zao.
Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza DCP Wilbroad Mutafungwa amesema ujio wa magari hayo ni mwendelezo wa vifaa ambavyo jeshi hilo limekua likivipokea kutoka serikali kwa ajili ya kuimarisha ulinzi pamoja na kukabiliana na matukio ya kiuhalifu yanayoweza kutokea ndani ya mkoa huo.
Katika hatua Nyingine Mutafungwa amewatoa hofu wananchi wa mkoa huo akisema wawe na amani kwani ni vifaa ambavyo vimekuja kuimarisha usalama na sio kwa ajili ya kuja kuwatisha wananchi.