De Lima anang’ang’ania namba 9 Zamorano anavaa namba 1+8. Seedorf anabaki na namba 10 Gaucho anapewa namba 80

De Lima anang’ang’ania namba 9 Zamorano anavaa namba 1+8. Seedorf anabaki na namba 10 Gaucho anapewa namba 80

Kumnyang'anya jezi mchezaji mkubwa ni kumdhalilisha, haijaalishi huyo aliyesajiliwa ana ubora gani. Zamorano alikuwa ni Star mkubwa kwenye game, kunyang'anywa jezi na kupewa Ronaldo ulikuwa ni udhalilishaji.
 
Back
Top Bottom