Nimemwangalia Seedorf akicheza toka akiwa ajax, Madrid , inter Milan na baadae ac Milan . Ubora wa Seedorf uliisha baada ya Milan kuchukua ubingwa 2007. Baadae alichezea uzoefu.

Kumnyang'anya jezi mchezaji mkubwa ni kumdhalilisha, haijaalishi huyo aliyesajiliwa ana ubora gani. Zamorano alikuwa ni Star mkubwa kwenye game, kunyang'anywa jezi na kupewa Ronaldo ulikuwa ni udhalilishaji.