Dead stowaway falls off KQ flight from Nairobi to London

Dead stowaway falls off KQ flight from Nairobi to London

Tatizo ninyi wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana, inafikia wakati tunachoka kujibizana na ninyi, ni sawa na mtoto mdogo anashika kidole chako na anakuuliza, " eti baba hiki ni nini?".

Kabla hujauliza swali ulipaswa ujiridhisha na kufahamu nini hicho inachouliza, sasa kama hata hujui chochote kuhusu jambo lenyewe, unawezaje kuuliza maswali ya kitoto kiasi hicho?.

Kama utafuatilia katika mitandao hili jambo limeelezwa kwa undani sana kitu gani kilitokea, ninyi kwa uwezo wenu mdogo wa akili mlionao, mnataka kutuingiza katika mjadala wa kitoto usiokuwa na maana yoyote. Hivi ni mtu gani mwenye akili timamu anayeweza kufikiria kwamba shirika la ndege linaloanzisha "new route" linaweza kufukuzwa?, acheni utoto huo.
South Africans don't need lazy sorcerers in their country.
 
Year 2014
CNN's Gary Tuchman shows how a stowaway could have hid in the wheel well of an airplane.

Source : CNN
 
Njaa inasababisha wakenya kufanya lolote ili kutoroka

Hasn't it occurred to you kuwa kuna Watanzania wanaokufa njaa ila they are unable to think even such a stupid way out of their poverty? Angalau huyo mtu alijua kuwa atakufa njaa asipochukua hatua, lakini kufa njaa huku unamsifia the most incompetent president in the whole of the continent is beyond belief.
 
Nilijua tu utazuka na mambo ya njaa. Wengine wetu tunashiba hata kuwashinda. Wakati ninyi mnakula ugali kwa sukuma, sisi tunajistarehesha kwa chapati kwa kuku aliyepakwa na kuchomwa.

By the way, Kama ni bomb ingeanguka badala ya dead body ingekuwa balaa
Asee Tanzania hatutumii sukuma week.
Halafu sidhan km kenya mnajua kupika chapati.
 
Tuletee idadi ya watu wenye njaa tz na ke...halafu ulete ya middle class ya ke na tz..

Hapo ndio tutajua kina nani wanaumia kw njaa...bila kusahau kwenye idadi za maskini pia.[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]
We unakataa nn shirika la misaada lenyewe linang,amua kenya kuna wafa njaa wengi.
Usijidanganye na uchumi wa makaratasi.
Tz watu tunakula mpk twamwaga kwa percentage kubwa.
 
Takwimu please za hilo shirika
We unakataa nn shirika la misaada lenyewe linang,amua kenya kuna wafa njaa wengi.
Usijidanganye na uchumi wa makaratasi.
Tz watu tunakula mpk twamwaga kwa percentage kubwa.
 
World Vision has been responding to the East Africa hunger crisis for the past year, reaching more than 3.5 million people facing food insecurity with clean water, food and nutrition support, healthcare, and more.

WORLD VISION KAMA UNAWAJUA BABA LA BABA.

Takwimu please za hilo shirika
 
We unataka tumwage wapi ?!
Tz ni rich of food mamaa hapa nilipo nimekula mpk kingine nimegaia kuku wanamalizia bandani.
Kuku..as in a ...? Good boy!! Umesema umemwanga ndani?. Kibandani
 
Kenyans bhana hata kuongea hamwez.
Umemwanga ndio nn?!sema umemwaga.Hata ww ukitaka nitakuletea mandi ule ili upunguze kula sukuma week daily.
Kuku..as in a ...? Good boy!! Umesema umemwanga ndani?. Kibandani
 
Nilijua tu utazuka na mambo ya njaa. Wengine wetu tunashiba hata kuwashinda. Wakati ninyi mnakula ugali kwa sukuma, sisi tunajistarehesha kwa chapati kwa kuku aliyepakwa na kuchomwa.

By the way, Kama ni bomb ingeanguka badala ya dead body ingekuwa balaa
Labda umeshibishwa mimba na mzungu au unadhani tumesahau ushoga Kenya ruksa
 
Back
Top Bottom