Dead Zone yake Darassa

Dogo anatumia nguvu kubwa sana, Jf haitaki tambo...πŸ˜‚
Kabsa yaan kuna huyu ma yule anajiita kakaake shetani sjui mjombaake shetani aisee kila nkiingia jf nakutana na rundo la notification za post zao Tu
 
Huyu mwamba tangu atoe ile maisha na muziki na ngoma ikaenda viral basi hajawahi kuwa na uwiano mzuri

Ni msanii mzuri mwenye talanta ila sijajua kwanini ameamua kuonesha wasiwasi kwenye ubunifu

Asilimia kubwa ya ngoma zote zilizofata baada ya maisha na muziki zilikuwa katika style ile ile
 
Kwahiyo anajitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…