Dead Zone yake Darassa

Dead Zone yake Darassa

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
20230222_145811.jpg
Wimbo mpya wa Darassa leo kaachiaa video intro ..so tukae mkao si ndio
Imeandaliwa na Kimodomsafi
 
Dogo anatumia nguvu kubwa sana, Jf haitaki tambo...😂
Kabsa yaan kuna huyu ma yule anajiita kakaake shetani sjui mjombaake shetani aisee kila nkiingia jf nakutana na rundo la notification za post zao Tu
 
Huyu mwamba tangu atoe ile maisha na muziki na ngoma ikaenda viral basi hajawahi kuwa na uwiano mzuri

Ni msanii mzuri mwenye talanta ila sijajua kwanini ameamua kuonesha wasiwasi kwenye ubunifu

Asilimia kubwa ya ngoma zote zilizofata baada ya maisha na muziki zilikuwa katika style ile ile
 
Kwahiyo anajitafuta
 
Back
Top Bottom