General directory
Member
- Jun 17, 2013
- 74
- 8
Samahani wana jumvi kunarafikiangu anataka aje tarehe 16 nimsadie kufanya application ya second round, japo anafahamu kuwa akichelewa ndivyo hivyo atakuta zile course nzuri zimejaa but she do'nt care about.
kama nilivosema hapo awali.....ndani ya siku 7 kutoka sasa..hata kama yatakuwa hayajatolewa na vyuo husika sisi tutakuwa nayo....i hope umenielewaMajina ya walio chaguliwa shahada ya kwanza lini?
Baada ya kuadimika kwa muda kidogo kutokana na kazi....sasa Mbwiga88 nimerudi tayari kwa majukumu yangu ya kuhabarishana na wana jamvi humu ndani...kwa wanaonifahamu vizuri wanatambua mchango wangu katika ku wa update na habari mbalimbali za TCU na selection za vyuo hapa jamvini mnamo mwaka 2013.......in 7 days from now nitakuwa nawaletea habari kutoka ndani ya TCU as they happen.....kwa sasa nakaribisha maswali and any queries...i will be happy to help in any way possible.......my Reputation preceds me....
hapana mkuu......NACTE kuna utaratibu wenu tofauti......idara niliyopo mimi siwezi kuaccess data za NACTEhilo jibu la hapo juu linajumuisha na sisi tulioapply kupitia NACTE?
Asante mkuu ni majukumu tu ya kazi zetu hizi yalinifanya nipotee kidogo......bt tupo pamoja...SHUKRANINimejiuliza sana huyu mtu Mbwiga88 yukwapi coz nilisikiaga habari zako....mzee wa kunyetisha habari za jikoni.....poa me nina wadg zangu wanasubiri kuingia MZUMBE/MUHAS nakusubiri tu mkuu.....kuwa makini usikamatwe humo ndani......ha ha ha ha....mzee wa kunyetisha....RESPECT!!!!!
Kama ilivokuwa imetanabaishwa awali suala la second round ni first come first served so hilo suala lako hapo juu huwa linatokea incase baadhi ya course zile slot zilizokuwepo zimekwisha so huwa inatoka kwenye zile options....i hope nimejibu swali lakodogo kaomba second round juzi, lakini tangu hapo course zinabalika badilika kila wakati inamaanisha nini sasa!!
hapana mkuu......NACTE kuna utaratibu wenu tofauti......idara niliyopo mimi siwezi kuaccess data za NACTE
Kila chuo kina utaratibu wake tofauti mkuu...Yeah nimekupata mkuu.
Nimekuuliza hivi sababu baadhi ya vyuo kana JORDAN kinawataka 1st year kuripoti tarehe 22september 2014
nicheki PM mkuu.....Suza university nilikiona kwenye kitabu nilivyo taka ku aplly kikagoma nasikia mpaka ukachukue form kule utanisaidiaje mkuu nakihitaji