Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo mkuu ikotoka na profile ikiwa empty dogo aombe nyingine si ndio?
nicheki PM mkuu.....
Baada ya kuadimika kwa muda kidogo kutokana na kazi....sasa Mbwiga88 nimerudi tayari kwa majukumu yangu ya kuhabarishana na wana jamvi humu ndani...kwa wanaonifahamu vizuri wanatambua mchango wangu katika ku wa update na habari mbalimbali za TCU na selection za vyuo hapa jamvini mnamo mwaka 2013.......in 7 days from now nitakuwa nawaletea habari kutoka ndani ya TCU as they happen.....kwa sasa nakaribisha maswali and any queries...i will be happy to help in any way possible.......my Reputation preceds me....
Baada ya kuadimika kwa muda kidogo kutokana na kazi....sasa Mbwiga88 nimerudi tayari kwa majukumu yangu ya kuhabarishana na wana jamvi humu ndani...kwa wanaonifahamu vizuri wanatambua mchango wangu katika ku wa update na habari mbalimbali za TCU na selection za vyuo hapa jamvini mnamo mwaka 2013.......in 7 days from now nitakuwa nawaletea habari kutoka ndani ya TCU as they happen.....kwa sasa nakaribisha maswali and any queries...i will be happy to help in any way possible.......my.NIMEINGIA KWENYE PROFILE YANGU YA TCU,NIMEKUTA KWENYE ADMISSIO CAPASITY YA BACHELOR YA CHAGUO LANGU LA KWANZA NI ZERO HAPO AWALI WALIITAJIKA KUMI,PIA KWENYE BACHELOR YA PILI ADMISSION CAPACITY ILIKUWA NI 10,SASA WAMEANDIKA 3.MACHAGUO MENGINE YAPO KAWAIDA TU IN PROGRESS.NISAIDIE UELEWA.
ha ha ha ha ha.....shukrani mkuu....TUPO PAMOJA
Wanaojua wamenielewa...."Et habri kutoka ndani TCU wewe ni Nani Pale TCU" kwikwikwi............
ni hali ya kwaiada hiyo ndugu yangu worru out tumepata sana claims kuhusu hilo suala......kuwa na amani tuBaada ya kuadimika kwa muda kidogo kutokana na kazi....sasa Mbwiga88 nimerudi tayari kwa majukumu yangu ya kuhabarishana na wana jamvi humu ndani...kwa wanaonifahamu vizuri wanatambua mchango wangu katika ku wa update na habari mbalimbali za TCU na selection za vyuo hapa jamvini mnamo mwaka 2013.......in 7 days from now nitakuwa nawaletea habari kutoka ndani ya TCU as they happen.....kwa sasa nakaribisha maswali and any queries...i will be happy to help in any way possible.......my.NIMEINGIA KWENYE PROFILE YANGU YA TCU,NIMEKUTA KWENYE ADMISSIO CAPASITY YA BACHELOR YA CHAGUO LANGU LA KWANZA NI ZERO HAPO AWALI WALIITAJIKA KUMI,PIA KWENYE BACHELOR YA PILI ADMISSION CAPACITY ILIKUWA NI 10,SASA WAMEANDIKA 3.MACHAGUO MENGINE YAPO KAWAIDA TU IN PROGRESS.NISAIDIE UELEWA.
majina ya kuchaguliwa vyuo yanapotolewa na chuo husika huwa wanaambatanishiwa na tarehe yao ya kuripoti for orientation....naamin nimejibu suala lakodogo langu linataka kujua baada ya kupewa chuo
a)nani anahusika kupanga tarehe ya kulipoti chuoni?
b)kuna uwiano gani kutoka tarehe ya kulipoti hadi mwisho wa kulipoti?
Baada ya kuadimika kwa muda kidogo kutokana na kazi....sasa Mbwiga88 nimerudi tayari kwa majukumu yangu ya kuhabarishana na wana jamvi humu ndani...kwa wanaonifahamu vizuri wanatambua mchango wangu katika ku wa update na habari mbalimbali za TCU na selection za vyuo hapa jamvini mnamo mwaka 2013.......in 7 days from now nitakuwa nawaletea habari kutoka ndani ya TCU as they happen.....kwa sasa nakaribisha maswali and any queries...i will be happy to help in any way possible.......my.NIMEINGIA KWENYE PROFILE YANGU YA TCU,NIMEKUTA KWENYE ADMISSIO CAPASITY YA BACHELOR YA CHAGUO LANGU LA KWANZA NI ZERO HAPO AWALI WALIITAJIKA KUMI,PIA KWENYE BACHELOR YA PILI ADMISSION CAPACITY ILIKUWA NI 10,SASA WAMEANDIKA 3.MACHAGUO MENGINE YAPO KAWAIDA TU IN PROGRESS.NISAIDIE UELEWA.
nadhani hilo swali mbwiga hawez kukujibu maana hilo tatizo lipo kwetu watu wa equivalent ambao tupo chini ya nacte....tuendelee kuvuta subira mkuu maana sio kwako tu ni kwa wote....
majina ya kuchaguliwa vyuo yanapotolewa na chuo husika huwa wanaambatanishiwa na tarehe yao ya kuripoti for orientation....naamin nimejibu suala lako
naomba nisaidie niliapply second round selection nikaambiwa sucessfully selected now naambiwa due to competition sijawa selected naomba nishauri maana nimesha kata tamaa
wamekwambia sangap