Deadline ya 'second round application' kwa TCU ni lini?

kwa hiyo mkuu ikotoka na profile ikiwa empty dogo aombe nyingine si ndio?
 
Akutumie namba ya kidato cha nne na password umsaidie haraka maana nafasi zimeaki chache labda kama anataka akafunishe special needs
 
Haha haya bwana mbwiga88

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
"Et habri kutoka ndani TCU wewe ni Nani Pale TCU" kwikwikwi............
 
dogo langu linataka kujua baada ya kupewa chuo
a)nani anahusika kupanga tarehe ya kulipoti chuoni?
b)kuna uwiano gani kutoka tarehe ya kulipoti hadi mwisho wa kulipoti?
 
Duuh hapa kazi ipo.
Bwana mkubwa Mbwiga88 kazi unayo.
Saidia vijana hao wanamaswali yao.
Ha ha ha
 
Mbwiga88 mzee wa Airtel yatosha

Nakuelewa sana
 
Last edited by a moderator:
 
dogo langu linataka kujua baada ya kupewa chuo
a)nani anahusika kupanga tarehe ya kulipoti chuoni?
b)kuna uwiano gani kutoka tarehe ya kulipoti hadi mwisho wa kulipoti?
majina ya kuchaguliwa vyuo yanapotolewa na chuo husika huwa wanaambatanishiwa na tarehe yao ya kuripoti for orientation....naamin nimejibu suala lako
 
majina ya kuchaguliwa vyuo yanapotolewa na chuo husika huwa wanaambatanishiwa na tarehe yao ya kuripoti for orientation....naamin nimejibu suala lako

naomba nisaidie niliapply second round selection nikaambiwa sucessfully selected now naambiwa due to competition sijawa selected naomba nishauri maana nimesha kata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…