Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani
Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo
Kilichofuatia baada ya liziko ni utekelezaji wa kuzifutia kaya usajili wake
Na yule mtunza sharia aliyeshindwa ndiye alikuwa keshaandaliwa kupigilia msumari.. Bahati mbaya saana ikawa Mipango ya Mungu si ya kisimkasi wala mwanjangwa