Hot bird
Member
- Jan 18, 2021
- 82
- 169
Tabia ya kumsingizia mtu usiyempenda ndiyo inayoonekana hapa.Mkuu si ni wewe uliyeleta fumbo la kuwa jamaa alikwenda bondeni kupitia nchi jirani ili baadae apae zaidi kwenda kuchukua ngawira zilizotokana na mauzo ya eneo na wanyama? Na kuwa akiwa huko bondeni wajanja wakamfanyia umafia wa kutaka kumtoa roho. Kuna haja ya kubadilika na kuacha tabia ya kujifanya kujua mambo na kuzusha jambo.