Kick ya kupewa sumu imebuma,Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani
Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo
Kilichofuatia baada ya liziko ni utekelezaji wa kuzifutia kaya usajili wake
Na yule mtunza sharia aliyeshindwa ndiye alikuwa keshaandaliwa kupigilia msumari.. Bahati mbaya saana ikawa Mipango ya Mungu si ya kisimkasi wala mwanjangwaView attachment 3076949
Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani
Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo
Kilichofuatia baada ya liziko ni utekelezaji wa kuzifutia kaya usajili wake
Na yule mtunza sharia aliyeshindwa ndiye alikuwa keshaandaliwa kupigilia msumari.. Bahati mbaya saana ikawa Mipango ya Mungu si ya kisimkasi wala mwanjangwaView attachment 3076949
Mkuu si ni wewe uliyeleta fumbo la kuwa jamaa alikwenda bondeni kupitia nchi jirani ili baadae apae zaidi kwenda kuchukua ngawira zilizotokana na mauzo ya eneo na wanyama? Na kuwa akiwa huko bondeni wajanja wakamfanyia umafia wa kutaka kumtoa roho. Kuna haja ya kubadilika na kuacha tabia ya kujifanya kujua mambo na kuzusha jambo.Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani
Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo
Kilichofuatia baada ya liziko ni utekelezaji wa kuzifutia kaya usajili wake
Na yule mtunza sharia aliyeshindwa ndiye alikuwa keshaandaliwa kupigilia msumari.. Bahati mbaya saana ikawa Mipango ya Mungu si ya kisimkasi wala mwanjangwaView attachment 3076949
Nimeshangaa sanaWabongo bhana 😂 mlisema atakufa na sasa mmekuja na maneno mengine
Kuna yule dogo wa huko Twitter alitekwa akapelekwa Arusha na kutupwa Katavi, watu humu wakasema amepelekwa Arusha mana mhusika wa utekaji yupo kule, sasa juzi kati hapa viongozi wa Chadema wamedakwa huko Mbeya mpaka kuletwa Dar lkn hakuna chawa aliyesema jambo 😂Nimeshangaa sana
Kama kweli ni kick, basi wale wasiompenda ndo waliikuza zaidi,,na amejua kuwatumia vizuri sanaKick ya kupewa sumu imebuma,
We jamaa kama ndo matunguli yako basi yame eksipaya vibaya sana,,,,,ulianza na zile mambo za jezi za Yanga zina laana ukatulizwa, ukapotea kabisa, sahivi umerudi na taarabu nyingine.........huyo ndo dawa yenu na hamumwezi kwa loloteWalianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani
Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo
Kilichofuatia baada ya liziko ni utekelezaji wa kuzifutia kaya usajili wake
Na yule mtunza sharia aliyeshindwa ndiye alikuwa keshaandaliwa kupigilia msumari.. Bahati mbaya saana ikawa Mipango ya Mungu si ya kisimkasi wala mwanjangwaView attachment 3076949
Wherever there is 💵💵 he is there.Yaani kwamba kijora alikuwa within that plot? Say no pkease!
Ukisoma mtiririko wa mada zote utapata jibu kamiliMkuu,haya mambo umeyajuaje?
Si wewe uliyekuwa ukikisia kisia kuhusu bwana Makonda?
Sasa mbona leo unaandika kama unajua usahihi wa hili jambo?
Nauliza tu,sina nia ya kukukosoa kaka.

Umeshasema fumbo halafu unasema ujuaji.. Fumbo mfumbie mjinga... Je wewe ni mmojawapo?Mkuu si ni wewe uliyeleta fumbo la kuwa jamaa alikwenda bondeni kupitia nchi jirani ili baadae apae zaidi kwenda kuchukua ngawira zilizotokana na mauzo ya eneo na wanyama? Kuna haja ya kubadilika na kuacha tabia ya kujifanya kujua mambo na kuzusha jambo.

Mwanaseria wangu anaung'wa.
Huna lolote mkuu. Mtu mzima kujishushia heshima kwa kupenda kuzusha mambo sijui ili kupata kaumaarufu uchwara mbona siyo jambo jema kabisa.Ukisoma mtiririko wa mada zote utapata jibu kamili
Umeshasema fumbo halafu unasema ujuaji.. Fumbo mfumbie mjinga... Je wewe ni mmojawapo?
View attachment 3077646
Soon samaki wote ukanda wa bahari ya hindi tunaoumiliki watahamishwa wote eneo wapewe waarabu wawekeze kwenye kuogelea!Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani