Deal done! Baada ya likizo kwisha.. Kaya zikafutwa

Tabia ya kumsingizia mtu usiyempenda ndiyo inayoonekana hapa.
 
Halafu jamaa ukimuuliza aeleweke anafanya eti wewe ndio hujaelewa au usome mada zote hizo na hataki kukiri ni za kutunga.

Tanzania panakuwa sehemu za kusemeana uongo uongo au kuzushiana mambo yasiyokuwepo.
 
Shida Yako ni uwekezaji au waarabu?
Uwekezaji ni sympathy way kuwapooza wajinga...ufisadi ni ufisadi tu hata uupe sympathy name? Mama ni mtu mwema huenda ila wanaomshauri ni mabogus,whether kwa kujua au kwa kutojua! Historia itamhukumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…