Deal Done: Feisal mambo safi

Mkuu muda wa kufanya hayo umeshafika, unamuuzia vipi mwenzio mchezaji dirisha likiwa limefungwa?
 
Hii option ya kumleta MTU wa kumnunua mbona dogo alishaipewa na Yanga long time. Sema tu elimu ndogo ya wa Zenj hawakuona au hawakuelewa hicho kipengele.
They never pay attention to details.
 
Tigo Postpaid Bando za bei nafuu sana kwa Tsh 15 unapata Gb 15 mwezi mzima , karibu pm kwa maelezo zaidi. Na kujiunga
Scam, kwa kiswahili.. utapeli wa mitandaoni.

GB15 kwa sh 15,000? Hata huko zinakotengenezewa gb Bei sio hiyo.
 
Sasa makubaliano gani wakati washakubaliana pesa za kulipa?
 
mmekubali kupokea fedha za uvunjaji wa mkataba na wala sio kumuuuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fedha wanatoa Azam maana yake wamemnunua, wamemsajili kutoka Yanga.
 
Sasa hao Azam walishindwa nini kufuata utaratibu wa aina hii tangu mwanzo, na badala yake wakachagua kutumia ile njia ya kihuni?
Azam ndo haikufata utaratibu ila maagizo ya kumaliza hili tatizo wakapewa Yanga na baada ya kupewa tu Azam ikafata utaratibu.

ANYWAY, LA MUHIMU FEI ATACHEZA SASA.
 
Yanga haikutaka kumuachia Feisali na ndio maana ilimpa majibu ya nyodo kuwa nemda CAS

Ubwabwa wa ikuku kuna haja ya kuuchunguza
Yanga imepata inachotaka mara baada ya maelekezo ya Raisi kuwa wakamalizane na Fei.
 
Yanga imepata inachotaka mara baada ya maelekezo ya Raisi kuwa wakamalizane na Fei.
We ulitegemea watasemaje na wakati kauli imetoka kwa Raisi?

Hapo hata Feisali angesema ile hela niliitumia kwenye mambo yangu, Yanga walikuwa tayari hela kuchangishana wenyewe kwa wenyewe kumlipia Feisali
 
Reactions: Tsh
We ulitegemea watasemaje na wakati kauli imetoka kwa Raisi?

Hapo hata Feisali angesema ile hela niliitumia kwenye mambo yangu, Yanga walikuwa tayari hela kuchangishana wenyewe kwa wenyewe kumlipia Feisali
Kama alivyokula pesa za mbumbumbu wa makolo mlizomchangia aende CAS.

Wajinga ndio mliwao.
 
Zile pesa ambazo Fei kachangiwa aende CAS arudishe kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…