Deal Done: Feisal mambo safi

Deal Done: Feisal mambo safi

π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗑𝗔 π—™π—˜π—œπ—¦π—”π—Ÿ π—¦π—”π—Ÿπ—¨π— π—¨ 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗒 π—¦π—”π—™π—œ

Uongonzi wa Yanga umefikia makubaliano na Feisal Salamu rasmi kwa kuachana kwa amani baada ya kumaliza mazungumzo yao leo.Yanga wamekubali kumuuza Feisal salumu kwenda kwa Klabu ya Azam Fc kwa dau la Tshs 270.4M kiasi ambacho Yanga sc walikiomba Kutoka kwa Azam Fc kununua mkataba wake Kwenye mazungumzo yao hapo jana.

Awali hapo jana Azam Fc walifikia dau la 160M lakini Yanga waliligomea dau hilo na kuwalazimu klabu ya Azam Fc kurudi tena na ofa yao leo ya pili.Yanga itapokea kiasi cha 150M mwishoni mwa mwezi huu Kama ada ya awali ya usajili Kutoka kwa Azam fc na baadae Azam Fc watamalizia kiasi kilichobaki cha 120.4M katikati ya mwezi wa 7 mwaka huu.

Kwenye dili hili hakuna makubaliano yoyote Kati ya Yanga na Azam Fc ambalo litamuhusisha Kiungo Akaminko Kama sehemu ya dili hili Kama Yanga walivyotaka kumjumuisha Kiungo Akaminko.Hivyo ni rasmi muda wowote kuanzia sasa Yanga itatoa taarifa kwa Umma juu ya taarifa rasmi ya kuachana na Feisal Salamu.

Kinachoendelea kwa sasa ni makubaliano ya kimkataba Kati ya Uongozi wa Yanga na Uongozi wa Azam Fc pamoja na menejimenti ya Feisal salumu juu ya malipo ya ada ya usajili.Mara tu baada ya kumalizika kwa makubaliano aya Feisal salumu atakuwa huru kujiunga na Azam Fc.

Kila la kheri Feisal salumu.
Mkuu muda wa kufanya hayo umeshafika, unamuuzia vipi mwenzio mchezaji dirisha likiwa limefungwa?
 
Hii option ya kumleta MTU wa kumnunua mbona dogo alishaipewa na Yanga long time. Sema tu elimu ndogo ya wa Zenj hawakuona au hawakuelewa hicho kipengele.
They never pay attention to details.
 
Tigo Postpaid Bando za bei nafuu sana kwa Tsh 15 unapata Gb 15 mwezi mzima , karibu pm kwa maelezo zaidi. Na kujiunga
Scam, kwa kiswahili.. utapeli wa mitandaoni.

GB15 kwa sh 15,000? Hata huko zinakotengenezewa gb Bei sio hiyo.
 
Sasa makubaliano gani wakati washakubaliana pesa za kulipa?
 
mmekubali kupokea fedha za uvunjaji wa mkataba na wala sio kumuuuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fedha wanatoa Azam maana yake wamemnunua, wamemsajili kutoka Yanga.
 
Sasa hao Azam walishindwa nini kufuata utaratibu wa aina hii tangu mwanzo, na badala yake wakachagua kutumia ile njia ya kihuni?
Azam ndo haikufata utaratibu ila maagizo ya kumaliza hili tatizo wakapewa Yanga na baada ya kupewa tu Azam ikafata utaratibu.

ANYWAY, LA MUHIMU FEI ATACHEZA SASA.
 
Yanga haikutaka kumuachia Feisali na ndio maana ilimpa majibu ya nyodo kuwa nemda CAS

Ubwabwa wa ikuku kuna haja ya kuuchunguza
Yanga imepata inachotaka mara baada ya maelekezo ya Raisi kuwa wakamalizane na Fei.
 
We ulitegemea watasemaje na wakati kauli imetoka kwa Raisi?

Hapo hata Feisali angesema ile hela niliitumia kwenye mambo yangu, Yanga walikuwa tayari hela kuchangishana wenyewe kwa wenyewe kumlipia Feisali
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
We ulitegemea watasemaje na wakati kauli imetoka kwa Raisi?

Hapo hata Feisali angesema ile hela niliitumia kwenye mambo yangu, Yanga walikuwa tayari hela kuchangishana wenyewe kwa wenyewe kumlipia Feisali
Kama alivyokula pesa za mbumbumbu wa makolo mlizomchangia aende CAS.

Wajinga ndio mliwao.
 
Back
Top Bottom