Deal Done: Harry Maguire atua rasmi Manchester United

Napoli walikataa. Man u hawakuwa na jinsi
Man united wangemchukua coulibaly wa napol ndo angewazima watu mdomo yule ndo beki kisiki kwelkwel kaka ila huyo Maguire Hana tofauti kubwa na kina mustafi,Phil jones,Smalling na ungechanganya na Hilo dau yaani hapo man u kapigwa kweupe.
 
Hahhahhahahha

khaa kuna mtu alipata na nguvu ya kumuandikia #HarryMagwaya sredi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…