Deal Done: Kiungo wa GorMahia Fransic Kahata asaini Simba SC

Ajibu free agent na uyo mkenya free agent, VIP mmekua Juventus kupenda vitu vya bure
 
Mnyama ameanza kutafuna taratibu kama tulivyotafuna viporo vyetu, muda wa kelele za watoto umeshaisha, muda huu ni wasaa wa watu wazima kuvimba tunavyotaka, SIMBA TAIFA KUBWA.
 
Huyu Kahata namtabilia kuwa kama Rafael Kiongera au wale kina Serunkuma pale simba!
 
Huyu Kahata namtabilia kuwa kama Rafael Kiongera au wale kina Serunkuma pale simba!
Hata mimi nakuunga mkono Mkuu, maana hata uwezo wake Kwa sasa upo chini kidogo huwezi kumlingsnisha na Mkude au Haruna Niyonzima. Nilimuona kwenye mechi nyingi za Caf Conferedation Cup.
 
Kuna tetesi za huyu jamaa Ange Baresi kuwa kesha saini simba! Hii iko vipi wadau ?
 
Simba siku hizi imekuwa ' addiktedi' na ' wazee'! Unamwachaje kijana kama Juuko ukachukua huyo mzee?! Una Wawa, Nyoni afu unaongeza mzee mwingine Baresi
Hata hivyo mpira wa kibongo haujawahi kuleta positive impact kwa kuwategemea vijana,hata timu nyingi za kiafrica zipo hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…