3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Haruna anajua kuhama na mpira uwanja mzima na kupiga back pas, sio mfungaji hata pasi za magoli ni adimu kwake.. stamina ni ndogo.Kahata! Kwangu bora Niyonzima kuliko huyu mtu.
Francis Kahata anakupiga chenga.. anachezesha timu.. anafunga na kutengeneza nafasi, pia stamina ya kutosha