Haruna anajua kuhama na mpira uwanja mzima na kupiga back pas, sio mfungaji hata pasi za magoli ni adimu kwake.. stamina ni ndogo.Kahata! Kwangu bora Niyonzima kuliko huyu mtu.
Niyonzima bado yupo Simba?Usajiri unatokana na uhitaji wa mwalimu na mfumo atakaotaka kuutumia....Kama Simba inataka kucheza 3-5-2 wakiwa nyumbani maana take wanahitaji viungo wanyumbulifu ili Timu iwe inashambulia mda wote kwaio Kama akianza Chama ,Niyonzima na kahata sio kosa..angalia mechi ya As Vita dakika za mwisho tulivyofunguka Tukawa hatuna kiungo mwenye asili ya kukaba,game plan zinabadilika kulingana na mechi Kama tunataka ushindi wa goli nyingi tunaweka viungo wengi
Alternatively kama viungo ni wazuri basi watazuia mpira usifike kwa mabekiSimba inatatizo kwenye Difence, ili lina fahamika sasa kama wanaendelea kusajili viungo na Difence inavuja tutegemee Kichapo cha goli tanotano Kuendelea.
Endeleeni kusajili tu wazee,kweli mikia ni timu ya vibabu!