Deal Done:Papy Kabamba Tshishimbi akifanyiwa vipimo leo ili kukamilisha uhamisho kutua Yanga SC!

Deal Done:Papy Kabamba Tshishimbi akifanyiwa vipimo leo ili kukamilisha uhamisho kutua Yanga SC!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
FB_20170726_17_55_29_Saved_Picture.jpg

------------------------------------------
Taarifa zaidi zinakuja,usiondoke kaa hapo hapo!!

___________________________________
Updates:
Yanga imekamilisha usajiri wa kiungo mkabaji Papy Kabamba Tshishimbi.
Natafuta taarifa rasmi na picha kisha ntawawekea hapa.
So rasmi kabisa Kabamba Tshishimbi ni mchezaji halali wa Yanga.
 
Hapo anapimwa vipimo vya afya au vipimo vya UREFU????

Vyura ni vyura tu nimeamini!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Hapo anapimwa vipimo vya afya au vipimo vya UREFU????

Vyura ni vyura tu nimeamini!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
Kwani hakuna vipimo vya afya vinavyomlazimisha mtu kupima urefu???
Kwa faida yako tu ni kwamba hicho kipimo cha urefu pia ni kipimo cha afya ili kubalance uzito na kimo chake ili kutoupa mwili kazi kubwa ya kuhimili uzito wa usiotakiwa.
 
Hapo anapimwa vipimo vya afya au vipimo vya UREFU????

Vyura ni vyura tu nimeamini!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Shidamoja ujajuaa wakipima afya lazima wanapima urefu had I NA choo unachotoq
 
Garasa tuu hilo limekuja kuchota mkwanja
Mkata umeme wapi???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Niyonzima mlisema garasa tu, sasa ndiyo mechezaji lulu kwenu! Tumewaachia huyo Niyonzima, kifaa kingine kimeingia, nacho mkikitaka tutawaachia pia na ku_import kingine. Hiyo ndiyo Young Africans SC International.

Hata hivyo nina kaswali kadogo tu: Pape Nd'aw a.k.a mzee wa Power Bank naye yupo wapi?

Ndaw 1.png


Pape Ndaw 2.png


Pape Ndaw 3.png


Pape Ndaw 4.png
 
Back
Top Bottom