Deal Done:Papy Kabamba Tshishimbi akifanyiwa vipimo leo ili kukamilisha uhamisho kutua Yanga SC!

Deal Done:Papy Kabamba Tshishimbi akifanyiwa vipimo leo ili kukamilisha uhamisho kutua Yanga SC!

Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
Kwani hakuna vipimo vya afya vinavyomlazimisha mtu kupima urefu???
Kwa faida yako tu ni kwamba hicho kipimo cha urefu pia ni kipimo cha afya ili kubalance uzito na kimo chake ili kutoupa mwili kazi kubwa ya kuhimili uzito wa usiotakiwa.
Hilo mbumbumbu ungeliacha kwa kulipotezea tu Mkuu!
 
Duh.. Gongowazi huko sasa ni kuchezea afya kwa mchezaji. Yaani huko ndo kupima Afya?
 
Hapo anapimwa vipimo vya afya au vipimo vya UREFU????

Vyura ni vyura tu nimeamini!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Sema na hapa
dda917f03e515be577db442d3afee59a.jpg
 
Moderator nibadirishie heading hapo juu na Isomeke kwamba:"PAPY KABAMBA TSHISHIMBI KASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI YANGA SC"
 
Back
Top Bottom