Duh, umepinduaje tena!Good good....Karibu Jangwani Papy Kabamba
aisee..sijapindua mkuuDuh, umepinduaje tena!
Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?Hapo anapimwa vipimo vya afya au vipimo vya UREFU????
Vyura ni vyura tu nimeamini!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Shidamoja ujajuaa wakipima afya lazima wanapima urefu had I NA choo unachotoqHapo anapimwa vipimo vya afya au vipimo vya UREFU????
Vyura ni vyura tu nimeamini!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Mchezaji anayecheza Swaziland naye mchezaji? Angejiunga Hata na Kimondo Fc Ndio size yake
Taarifa zako huwa naziamini sana Mkuu Wonderful sio Sawa na bwana yule wa matopeni aitwaye Gentacymine!View attachment 551173
------------------------------------------
Taarifa zaidi zinakuja,usiondoke kaa hapo hapo!!
Hata Niyonzima mlisema garasa tu, sasa ndiyo mechezaji lulu kwenu! Tumewaachia huyo Niyonzima, kifaa kingine kimeingia, nacho mkikitaka tutawaachia pia na ku_import kingine. Hiyo ndiyo Young Africans SC International.