Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

Dahhh haya mambo kweli kizungumkuti, kwahiyo Mtvbaseafrica, The source America, Traceafrica, chanel O, hao anyway tuongeze na wakwetu millard ayo, clouds media wote wameambiwa wadanganye kwamba hiyo deal ni global ikiwa sio kweli???

Wacha tuwe na subra labda tutakuja kupata ukweli mbeleni ila km mwandishi ungetoa mfano wa msanii ambae aliwahi kusign deal sony na wakaongopa ni global kumbe sio km wafanyavyo kwa huyu mwenzetu walau hapo ungetutoa tongo tongo, maana kumuaminisha mtu mwenye macho yake kuwa hili ni jiwe huku ye anaona ni andazi inakuwa ngumu kidogo

Bado sioni umuhimu wa hizo media kutangaza uongo kulingana na hadhi zao na kulinganisha hadhi ya kimuziki ya rose muhando, nakaya na keko kwa Alikiba napata ukakasi kuamini kwamba amesign deal sawa na hao wasanii

ila all in all me sio mjuzi wa haya mambo so nakaa pembeni kuja kujua which is which. Anyway kwa wale wapenzi wa muziki wetu teyari tumepata pa kupiga kura maana kitambo kidogo, kijana wetu Diamond anawakilisha Tz huko duniani, Bet
 
Its not a global deal! Trust me.. its just a "publicity stunt" kuitangaza hivyo but the deal is not global


Ni aibu kua muongo na bado unaelekezwa kisha unakua mbishi,nenda angalau katazame video clip ya tukio lenyewe alafu uje useme public stunt iko wapi mpaka.
Nenda kasome hili gazeti online alafu rudi tena maana wewe jamaa unaongopa sana uku unajifanya unajua nakumbuka povu lako kipindi cha saga la Mbasha.
 
Ushabiki kitu kibaya sana,yaani mtu hata akitoa angalizo/tahadhali anaoneka msaliti,hivi when are we going to change and look at things critically kuliko kushabikia mambo kishambashamba tu? Kiba ni masanii mzuri tena sana lakini mnakumbuka mkataba wake wa ushiriki wa pamoja na R. Kelly ulitaka kumpoteza,anyway lets hope for the best .
 
Labda watu wanasahu,nakumbuka Michael Jackson pia aliwahi watema Sony hasa kipindi kile yule mkurugenzi wa Sony somebody Tom Matola kama sijakosea alipoamua kumuweka Mariah Kerry kwenye viwango sawa na The Wacko Jacko kisa jamaa alikuwa anamla Mariah hadi akamuoa.
 
Mashabiki wengi wa Alikiba wamekuwa wakilia sana kuwa msanii wao anachelewa kutoa nyimbo mpya pamoja na video mbovu au akitoa video basi anaitoa kwa wakati ambao si muafaka yaan tayari watu wameshasubiri sana mpaka wamechoka.Sasa kuna watu humu ndani wanadhani Alikiba kusaini huo mkataba basi wiki mbili tu zijazo au mwezi mmoja wataanza kuona matunda yake,minyimbo ya ukweli,mavideo ya maana,makolabo ya nguvu na blah blah...Wanashindwa kumuelewa mtoa mada kwa pointi zake alizosema ikiwemo ya lundo la wasanii wanaosimamiwa kazi zao na hawa Sony...hii itapelekea Alikiba kuchelewa zaidi kutoa nyimbo zake na kupeleka kazi mpya sokoni,style hii ni hatari sana kwa soko la muziki wa Afrika...Wekeni ushabiki pembeni angalieni facts,Alikiba ni lazima awe makini saaana...Davido alisaini huo mkataba January saivi ni mwezi May bado sijaona kazi yake hata moja aliyofanya na hao Sony....still waiting...........
 
Umesahau kwamba Keko wa Uganda na Redsan wa Kenya walisign mkataba. Tofauti na matararajio yako, nyimbo zao zinauza sana ulaya na marekani kuliko Africa!
Nani kakudanganya???
Kati yao hamna mwenye nyimbo yenye 1million hits kwenye YouTube halafu unasema wanauza muziki nje, nani ananunua kama hata watu wa kwao hawazisikilizi???
This is JamiiForums where we dare to talk openly.. Kama hutaki criticism kwa watu unaowapenda hakikisha huingii humu spend time kwenye group ya familia whatsapp..
 
Hii ni hatua kwa Kiba,kujua kama ni hatua nzuri au mbaya ni swala la kusubiri kwa sababu kitu pekee cha kukariri ni mathematics table na sio maisha lakini historia inatufundisha yaliyopita,yaliopo na yajayo kwa hiyo kabla ya kusaini huo mkataba Kiba na watu wake walifanya hesabu na historia...to what extent..? hatujui.Tatizo la Kiba ni management yake,namjua 7 tu katika management ya kiba wakati chibu ana babu tale,mkubwa fella na sallam.
 
Ramli na Ujuaji mwingi wakati hata mkataba wenyewe hujauona nadharia nyingi
 
Ally kiba akija hapa akauliza inahusu, nani atajibu? Sonny wakija wakauliza inahusu zaidi ya kiba nani atajibu? Banks zikisema zimepokea cheques ya Ali kiba na anatakiwa kutunga wimbo wa Sonny Ericsson wa mwaka huu wa Tennis itahusu? Ally akiwa na nyumba kubwa ufukweni na wewe unapita unaikodolea, inahusu? Ally akiingiza pesa za nje kwa kazi zake na kufanya pato la nchi lipae je haikuhusu??????
 
Its not a global deal! Trust me.. its just a "publicity stunt" kuitangaza hivyo but the deal is not global
Mkuu nimekuliza swali Jepesi Kwanini sio Global??
Hivi watanzania tunamatatizo gani yani. Mwenyewe Mkataba kasema Global wewe unasema sio Global.hizi tabia za negativity hazitusaidii watanzania.
 
Negativity at it's best!!
Labda uelewa wako ndio unakushawishi ufikiri hivyo na definition yako ya positivity ni kusifia tu! wengine tunapenda kuitazama shilingi pande zote mbili tofauti na wewe unaye amini shilingi ina upande mmoja tu wa mwenge.. Pole
Mkuu nimekuliza swali Jepesi Kwanini sio Global??
Hivi watanzania tunamatatizo gani yani. Mwenyewe Mkataba kasema Global wewe unasema sio Global.hizi tabia za negativity hazitusaidii watanzania.
Katika entertainment industry watu ku-pull stunt kama hiyo ni kawaida sana
 
Watu wengne kama CO watanzania, uzalendo ni zero, sasa mpaka magazine kubwa dunia ,TV kubwa Africa trace pia wamezbitsha kuwa Ali kiba is a second African artist kusaini dili kubwa wakwanza ni davido, bt leo mtu anandka pumba zake bila kuelewa vzuri anachosema.. Narrow minded
 
Nianze kwa kufafanua kuhusu mfano wangu wa kuchelewa kwa mkataba wa Nassib, ilikuwa ni kuonesha ugumu wa kukamilika/kupatikana mikataba ya kidunia ya muziki.
Kwani huo licha ya kuwako na nguvu ya Rais wa nchi lakini hata hivyo haukuharakishwa kusainiwa.
Nilikuwa katika msisitizo wangu wa ukubwa na umuhimu wa mkataba wa kidunia wa Alikiba.
Kwa kuongezea, Nassib na Alikiba ni washkaji zangu sana, ila mwaka huu tu ndio tumekuwa tukionana mara chache kutokana na kuongezeka kwa majukumu yangu kikazi.
Nilimjua tangu akiwa Lora Squad na wale watoto wa Kiarabu.
Hata hivi majuzi Nassib alipoacha kuitumia ile namba yake private na kuanza kutumia namba nyingine, nami alinitumia SMS ya kunipa namba yake mpya ya private.
Kamuulize Tale kama huyo dogo hajaanza kutumia namba mpya baada ya ziara ya Ulaya.
Sijawahi kumdharau ila nimekuwa nikimpa changamoto hata nikiwa naye ana kwa ana.
Nikirudi kwenye hoja ni kwamba, mkataba wa aina ya Alikiba na Davido haukuwahi kusainiwa kwa msanii yeyote wa Africa tangu Sony Music iwepo duniani.
Sasa kutolea mfano kwa msanii gani sijui wa Africa kuwa alifeli baada ya kusaini mkataba kama wa Alikiba, ni upotoshaji mkubwa.
Lazima mfano uwe kwa Davido au Alikiba tu kwa sababu ni hao pekee ndio wenye mkataba huo wa Sony kwa bara la Africa.
Nashauri someni Source Magazine ambao huandika habari za kweli kabisa za muziki, wameeleza aina ya mkataba wa Alikiba.
Tukiachana na hayo ambayo najua kadri muda utakavyokwenda atazidi kujiona alikurupuka kuandika hiki alichokiweka hapa, coz matokeo yatamuumbua siku si nyingi.
Twende kwenye suala la mkataba wa Nassib na Wanaija, kuuita ni sawa na mkataba wa Mkito ni kuwakosea heshima walioupitia na kuusaini.
Nieleze tu kwamba nao ni mkataba mzuri, kulingana na vipengele vya mkataba huo nilivyoelezwa na Nassib mwenyewe na sio kutumia hisia tu.
Ule mkataba ndio matokeo ya aina ya mkataba wake na Vodacom, ambao unaitaka Vodacom kuwa mmoja wa wadhamini wa maonesho yake yote nchini, jambo ambalo linawavutia zaidi mapromota.
Ni mkataba wenye mambo mengi mazuri ambayo hadi kufikia mwisho utaisaidia hata management ya Nassib, hivyo kuuita sawa mkataba wa kuuza mauzo ya single ni kuufanya uonekane kama kitu cha kupuuzwa.

Ova
 
Mdakuzi,

Kwanza hiyo mikwara uliyoitoa hapo mwanzoni kuwa Dee mshkaji wako, Ali mshkaji wako na una namba zao and ati hamuwasiliani kisa tu wewe uko bize (sio wao, ati wewe ndiye uliye bize mpaka unewapotezea) hizo mbwembwe za kitoto alafu hazohusiani na tunachojadili hapa..

Turudi kwenye mada, mkataba wa Ali na Davido iko tofauti kabisa! Hata subsidiary za Sony walizosaini chini yao ni tofauti!! Davido yuko na Sony Music Ent BMG na Ali yuko na Sony Music Africa kwahiyo kusema mikataba yao iko exactly the same ni uongo!!

Alafu hiyo comparison unayoifanya ati mkataba huo wa Nigeria ni almost the same na huu mkataba wake wa Vodacom huo ni uongo wa mchana kweupe, ingawa umejitutumua Dee mshkaji wako lakini obviously huelewi kinachoendelea!! Mkataba wa Dee na Voda its the most lucrative endorsement deal kuwahi msanii wowote wa Bongo kuwahi kupata na itachukua muda hata Dee mwenyewe kupata deal nyingine kama ile.. Umesema Tale ni mshkaji and you keep good contact with him, hebu jaribu kumuuliza akuelezee fresh.. Dili yake na wanaigeria ni kama Mikito tu
 
Well said
 
Dua la kuku halimpati mwewe! Mungu akutie nguvu alikiba, wala usirudishwe nyuma na wenye chuki binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…