tamadunimusic
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 551
- 559
Dahhh haya mambo kweli kizungumkuti, kwahiyo Mtvbaseafrica, The source America, Traceafrica, chanel O, hao anyway tuongeze na wakwetu millard ayo, clouds media wote wameambiwa wadanganye kwamba hiyo deal ni global ikiwa sio kweli???
Wacha tuwe na subra labda tutakuja kupata ukweli mbeleni ila km mwandishi ungetoa mfano wa msanii ambae aliwahi kusign deal sony na wakaongopa ni global kumbe sio km wafanyavyo kwa huyu mwenzetu walau hapo ungetutoa tongo tongo, maana kumuaminisha mtu mwenye macho yake kuwa hili ni jiwe huku ye anaona ni andazi inakuwa ngumu kidogo
Bado sioni umuhimu wa hizo media kutangaza uongo kulingana na hadhi zao na kulinganisha hadhi ya kimuziki ya rose muhando, nakaya na keko kwa Alikiba napata ukakasi kuamini kwamba amesign deal sawa na hao wasanii
ila all in all me sio mjuzi wa haya mambo so nakaa pembeni kuja kujua which is which. Anyway kwa wale wapenzi wa muziki wetu teyari tumepata pa kupiga kura maana kitambo kidogo, kijana wetu Diamond anawakilisha Tz huko duniani, Bet