Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

Katika post yangu namba Saba(7), nilikutahadharisha mkuu.

Pole lakini
Mantiki ya kukanganya wasioelewa. Tatizo sio mkataba, ila ni kuelewa kiingereza ndio hakieleweki. Tafuta nukuu ya SONY MUSIC kuhusu deal yao na Kiba. Utapata mtoa mada hana ukweli wowote kuhusu deal hii. He is relying on media just as we are!
 

Mkuu tusaidi hili hapa Chini kama kwenye dili la Davido huyu jamaa alienda kufanya nini?
One of Nigeria’s most celebrated musicians, David Adedeji, popularly known as Davido, has signed a musical record deal with world extolled musical record, Sony Music.

The American-based company made this known in a statement published on its website.

According to the statement, the deal entails Davido making and producing all his songs under the corporation’s label.

The deal was signed at Sony Music office in New York.

The Managing Director of Sony Africa, Sean Watson, during the signing rites said, “Working with incredible talent like Davido heralds a new era for Sony Music Entertainment Africa on the continent.

“We couldn’t be prouder of our partnership with Davido and we are extremely keen to support his vision to succeed at the highest level in our industry.”

Davido promised his African fans a great deal time with the Sony.

“I’m blessed to be partnering with Sony Music Entertainment on this next chapter. My number one aim is to make my fans and Africa proud,” Davido said.
 
Nimeangalia interview ya Mayunga aliyekuwa chini ya Universal Music Group based in Africa ambayo inashabiana sana na Sony entertainment, baada ya kuona hasimamiwi ipasavyo kama mkataba ulivyodai Mayunga kaamua kujitoa UMG. Hii ndiyo itamtokea Kiba kama wasanii wengine wote waliopata kupita kupita chini ya hizi labels kama Rose Muhando n.k. Tusubiri labda muda utatuprove wrong

Link interview ya Mayunga kujitoa Universal Music Group:
 
Well noted mkuu!! And point aliyoongea mayunga inafanana kabisa na point niliyoongea kwenye bandiko langu, hawa watu wanakuwa na ishu nyingi mno kubwa kubwa so wewe msanii mmoja peke yako unakuwa sio priority kwao na ndio maana kila anayesaini na hawa jamaa tunamsahau.. Just imagine Mayunga alikuwa anatakiwa atoe nyimbo kila baada ya miezi 3 lakini mpaka sasa zaidi ya mwaka alafu ana kanyimbo kamoja tu wenyewe wako bize na ishu zao!!!

Let's wait, time will tell!
 
 
Mi sidhan km kungekuwa na tatizo lolote ungempongeza kiba kwa hatua alofikia,,,ila tatizo la wabongo ni kwamba wanatumia muda mwingi kufananisha na MTU aliyeshindwa ktk jambo thats why mnafanya watu wakate tamaa mapema kwa kumuangalia MTU aliyeshindwa on behalf of looking for ways that someone can use in overcoming that threat..... Pongez kwako king kiba
 
OK WAZO ZURI BRO
 
On behalf => instead
 
Naona watu wanasema sana kuhusu huo mkataba. Sijaelewa vizuri, je babu Kiba kala za kichwa? Au amelamba dume?
 



Heshima yako mkuu the bold naona davido anatafuta pa kutokea mkataba wake na sony
 
Alisignsony global kwa mujihu wa Millard ago na Ali mwenyew na ndo maana ukifuatilia ile habari alitangazwa Kama muafrica namba mbili kusign deal hilo baada ya davido
Labda ungesema kwa upande wa uelekeo ki mziki ila yule jamaa hajasign Sony africa
 
Heshima yako mkuu the bold naona davido anatafuta pa kutokea mkataba wake na sony
Si utani Davido anajuta kuwafahamu Sony!
Hilo ndio fundisho kwa wasanii wengine, wajiulize kwa nini wenzao wanaoshine zaidi yao hawataki kusaini na haya makampuni ya ulaya.. Haya makampuni ni opportunists na dizaini flani wanyonyaji! Kwa Africa hawawezi muziki wetu afadhali tu mtu ukomae na kina Mobenga na kina Babu Tale..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…